Hivi mlitaka Hashimu aishi life style ipi ili mridhike?Mimi naamini UpAnd Down ni kitu cha kawaida katika maisha.Jamaa atabaki kua na sifa ya kipekee kama mtanzania wa kwanza kucheza NBA.
Mkuu,hajawahi kua na NBA career yoyote respectable since day one...
We could give him a pass kama angekua na some basketball in him,but zero....
Tatizo sio maisha mazuri...wewe upewe hela tu halafu on court production ni zero???
Heri mr nice alikua na talent,na alifika pick ndio akaanza kuloose....watu wana get it wrong,Hasheem has never played basketball in the NBA in serious terms...he was a chronic career benchwarmer
Hasheem hajawahi kupanda skills kokote maisha yake ya NBA yote labda useme kuna kupanda na kushuka....jamaa ni career looser,never prove shit on court
Mkuu LebronWade watu wa hivi mi nimeamua kuwa ignore. Kama huyu DIUNATION yaani hakuona thread nzima tukisema kuwa tunaangalia uchezaji wake na tunatoa maoni kwa kile tunachohisi kimechangia kwa kutofanikiwa kwake kimpira lakini pale pale bado mtu anaona tuna-hate!? Mimi naona watu wengi hawaelewi the significance of the draft system and just how big of deal it was kwa jamaa kuwa drafted 2nd overall. Maana wangejua just how big of a fcuking deal it is to be drafted that high and the type of players he was drafted with wangeaza kuappreciate just how big of an embarrassment it is for this guy to be out of the league so soon. Thabeet is now easily in the top 5 biggest draft busts of all time, considering how good the draft class he was drafted in turned out to be, maana I don't think we've seen as good a draft year since the 2003 draft.