Hasheem Thabeet atua

MANY THANKS,hapa ndio tunachambua pumba na mchele
 
Mitanzania haina akili nawaambiaga....eti inauliza kwanini hakuvaa suti WTF?....Mitanzania bana ndio maana wafunga tai wenye ngozi nyeupe wanawaibia daily.....
utashangaa jitu kama Nyani Ngabu kisa lina kitambi na suti basi litapewa heshima
 
Mitanzania haina akili nawaambiaga....eti inauliza kwanini hakuvaa suti WTF?....Mitanzania bana ndio maana wafunga tai wenye ngozi nyeupe wanawaibia daily.....
utashangaa jitu kama Nyani Ngabu kisa lina kitambi na suti basi litapewa heshima

Mimi sina mtumbo kama wa mjomba wako Komba bana...mimi ni six pack tu. Kwanza unajua six pack ni nini wewe? Juzi nimekumbatiwa na demu akasema "I like how you felt when I hugged you"...nikamwuliza.how did i feel to you? akajibu "you felt strong and well built".....so hakuna mtambi au minyama ya uzembe hapa
 
Nathani pia nifundisho kwa viongozi wetu....siyo kukaa na kuiba tu hela za umma kisa watoto wao wasipate shida..kazi kuwalemaza watoto na kuuwa vipaji. Hela zipo siyo lazima kuiba Hasheem atamake around $7.7 million over two years according to the rookie pay scale. As a junior at UConn, Thabeet averaged 13.6 points and 10.8 rebounds in 2008-09. He was named Big East Defensive Player of the Year ...Viongozi wa Tanzania tuwezeshe...vyuo kibao vya marekani vinatoa sponsorship kwa wanamichezo ila kwa hila wanapeleka unqualified people...tuwapeleke akina Hashimu kabla hawajawa akinaHasheem.

Field marshal umeongea...the guy deserve all the respect, is importance is more than most of ministers wetu hapa bongo!!!Kijana amefungua madirisha miye nipo huku kwa watu ah wakianza kuongelewa sport mie sasa naongelea NBA tu. In fact nawapiga bao...US ni US tu.
 
Last edited:
kama ni yule mnyalu lazima akusifie......yeye nae si wale wale....
 


Juzi nilikuwa naangalia mbio za marathon zinazoendelea kule Germany kwenye TV, kwa kweli I was very happy to see my African compatriots from Kenya doing us proud.

Thabeet is our ambassador. LAKINI kama alivyosema FMES..inabidi hii iwe inspiration kwa vijana wanaotaka kuyatafuta mafanikio. Wajue kabisa hakuna shortcut! Ukifanya juhudi unafanikiwa.

Nadhani Thabeet ametuhakikishia kwamba mafanikio siyo mpaka uwe darasani tuu. Binadamu tuna talents nyingi sana ni sisi tuu kuzi-exploit. Kurusha mpira haihitaji PhD! Tufanye kazi tuache kiswahili kirefu.
 


u nailed it brah...hapa ndio mjadala ulipoishia...saaaaafi!!!!!!
 

...vyuo kibao vya marekani vinatoa sponsorship kwa wanamichezo ila kwa hila wanapeleka unqualified people...tuwapeleke akina Hashimu...

Vyuo vya Marekani vinafanya thorough scouting wakati wakati wa ku recruit, hawawezi kutuma "sponsorship" wizara ya michezo Tanzania eti tuleteeni student athletes, tuchagulieni walio qualified.

Kuna watu wameajiriwa na hayo mashule specially kwa ajili ya recruiting, wanajua every last detail ya potential student athlete. Wana recruit wenyewe. Wacha urongo!
 
... na wazungu hawajahi kuwa wajinga wa kumsaini mtu wa kumlipa Dola millioni 4 kwa mwaka bila sababu, hizo huwa ni tabia zetu wabongo, madini ya dola millioni 10 tunalipwa dola laki mbili na nusu tu as kodi.

Umewahi kusikia msemo "draft bust"?

Maana yake nini?

Acha kupapatikia wazungu wewe!
 
baharia bana nae yeye kila wanachofanya wazungu anakiona bora.....

Kuna kipindi bongo ubaharia ulikuwaga dili sana...miaka ya 80...watu walikuwa walienda Ugiriki na Italy walikuwa wanaonekana wa maana sana aisee.
 
Kuna kipindi bongo ubaharia ulikuwaga dili sana...miaka ya 80...watu walikuwa walienda Ugiriki na Italy walikuwa wanaonekana wa maana sana aisee.
ndio kipindi baharia wa jf alipojisunda ndani ya injini yenye harufu kali ya mafuta kwenda majuu kusaka ngawira......
 
Nadhani Thabeet ametuhakikishia kwamba mafanikio siyo mpaka uwe darasani tuu. Binadamu tuna talents nyingi sana ni sisi tuu kuzi-exploit. Kurusha mpira haihitaji PhD! Tufanye kazi tuache kiswahili kirefu.

....aisee kwa uelewa wangu mdogo tu ktk nyanja hii ya mpira wa kikapu huko Marekani ni kwamba: NBA imekuwa/inautamaduni wa kuchagua(draft)wachezaji mostly from academic institutions, they call them 'college basketball' -**with an exception of Yoa Ming from China**
...sasa kwa usemi wako hapo juu, naelekea kufikiri Thabeet asingefikia hapo alipo bila kupitia "Darasani",na labda nimaliziye kwa kusema; Dikembe Mutombo(Georgetown University-usaid scholarship) ndani ya NBA ni Mchezaji,Nje ya NBA ni Tabibu,na hii si uchawi bali ni Darasa tu!!!
....huko kwenye PhD naona wala tusifike......
 
Umewahi kusikia msemo "draft bust"?

Maana yake nini?

Acha kupapatikia wazungu wewe!


- Wewe unayejua maana ya draft bust kwa nini usitoe maelezo, jinsi College Basketball Defensive Player of the year, kutoka U-conn aliyesainiwa kwa US Dollars $ 4 miilioni a year, guaranteed anavyoweza kua bust?

- Bust on what sense na huku atalipwa hela zake zote regardless! Unasema maana ya hiyo Hard Talk yako ni m-Tanzania atakayelipwa Dola zote hizo Millioni 8 kwa miaka miwili tu, lakini itakuwa bust? what a nonsense! Mbongo aliyetoka kwenye hili jua anaweza kuwa bust na hela yote hiyo, mkuu puzmika kidogo na hizi internent zinakuchosha sana akili mkuu, huoni kuwa umechoka sana na mawazo! Damn!

Respect.

FMEs!
 
Last edited by a moderator:
Correction:Internet
 
Correction:Internet

- Mkuu ninapokuachia na filimbi zako sio kwamba ninakuogopa ila naogopa kushuka chini kwenye level yako, maana wenye akili watashindwa kujua nani ni nani,

- Thabeet sio tena level yetu wabongo, huyo sasa yuko dunia nyingine kabisaa mkuu, wabongo tuna choice either kujipanga naye au kuchukua time maana sasa hatuhitaji tena katika maisha yake!

Respect.

FMEs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…