hello,long time no see u mama....Watamlipa kiasi gani huko Rockets? Huko Grizzlies alikuwa akipata $4.9mil before taxes kwa mwaka.
Mungu amsaidie kijana huyo.
He needs Olajuwon and Deke training.He's got the shoulders of a little kid, hopefully he can get in the gym and add some strength/bulk to his upper body.hello,long time no see u mama....
.....Olajuwon was reasonably impressed with Thabeet a couple of years back, so this may have contributed a bit to Houstons talent scoping of the guy....al the best HT
Watamlipa kiasi gani huko Rockets? Huko Grizzlies alikuwa akipata $4.9mil before taxes kwa mwaka.
Mungu amsaidie kijana huyo.
I think its not about 'how much will he be paid', but more of a second chance with a very reputable team! Hasheem really need to work hard...make us proud home boy!
huyo dogo si alikuwa anakaa houston kabla hajaenda uconn?
ROCKETS: Rockets acquire Thabeet, Dragic and pair of first rounders in deadline day deal
Houston Rockets (HoustonRockets) on Twitter
kwenye twitter ya rockets wame confirm.....ila sasa nasikia h town kuna machangu kibao wa kibongo na wana ngoma dogo awe
muangalifu....
Haya mabadiliko yatamsaidia.He will be at his best soon!
"Let them judge by my work ethic. I have to show them I really want it. I'm ready to work. A lot of people have been saying a lot of negative things about me. That really doesn't bother me. What bothers me is what I can control. I'm going to work, get better every day. I like to learn and that's what I'm going to do."
Hivi ni kwa nini wabongo huwa tunapenda sana kujihami dhidi ya watu?
Kwa nini huwa tunaweka moyoni kwamba tunasengenywa?
Imekuwa kama Fashion, karibia kila anayejiita celebrity wa kibongo anapenda kutumia maneno kama ya Huyu Bwana Thabeet.
Ujinga mtupu, unajali watu wanavyokusema? unadhani utakaa uwabadilishe? Piga kazi, and stop whining Moron!!!
wabongo tuliowengi tuna mawazo ya kimaskini mkuu..
Wanamzingua dogo bure, kama hawamtaki kwanini walimnunua??.
Ile hali ya kule Memphis inaeleweka lakini hii ya Rockets mmh!...maana wao walishamuona kule Memphis ndio maana wakamnunua juzi juzi tu.
Kinachotakiwa ni kocha kumuamini na kumpatia game time ya kutosha ili kijana arudishe confidence yake.
Hasheem sio mchezaji mbovu kiasi hicho, tatizo ni kupoteza confidence baada ya kuwa katika benchi mda mrefu...
Nadhani kama wewe ni mpenda michezo utakua unajua naongelea nini. Mifano mizuri ni akina Berbetov, Rooney, na na sasa Torres....😛anda:
BTW: Kama hali ikiendelea hivi ni bora aende zake kwenye timu za Europe....
Hivi ni kwa nini wabongo huwa tunapenda sana kujihami dhidi ya watu?
Kwa nini huwa tunaweka moyoni kwamba tunasengenywa?
Imekuwa kama Fashion, karibia kila anayejiita celebrity wa kibongo anapenda kutumia maneno kama ya Huyu Bwana Thabeet.
Ujinga mtupu, unajali watu wanavyokusema? unadhani utakaa uwabadilishe? Piga kazi, and stop whining Moron!!!