Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Give him a break 'shosti'....Hasheem anahitaji muda wa kucheza zaidi ili kupandisha kiwango chake. Ikumbukwe kuwa ameanza kucheza kikapu akiwa na umri mkubwa tayari kwa sababu tu ya urefu, anahitaji muda! He is young, with time...he will be better, and inshallah...may be an MVP!
Maneno kama yako ndio anayopata kutoka kwa watu waliomzunguruka na ndio maana haonekani ku-improve na hato improve akiendelea kusikiliza maneno yenu.
Dogo anahitaji kufanya kazi ya ziada binafsi kuweza kufika kiwango kinacho stahili.Mmabo ya kukaa tu bila kujituma na kuendekeza starehe hayana nafasi kwenye level aliofikia. Hakuna kazi iliokuwa rahisi, hao mastaa wote anaowaona wanajituma sana kwenye mazoezi.
Baada kupelekwa huku kwa mara pili, nilijua wale amabao wanamtetea kila watakuwa wamejifunza kitu, kumbe bado. Kama anatak kuendelea kuwepo kwenye NBA ,itabidi ajitume sana ndani ya court na nje. Kama yeye anaona hawezi kujituma zaidi ya hapo basi hajue kuna vijana kila mwaka wanakuja kutafuta nafasi hio aliopata yeye na kushindwa kuitumia.
Safari safari zake za hovyo hovyo bongo wala hakuwa anahitaji zile na badala yake mda wake angeweka kwenye mazoezi na kujifunza game.