Hasheem Thabeet: From the NBA to the D-League

Hasheem Thabeet: From the NBA to the D-League

Give him a break 'shosti'....Hasheem anahitaji muda wa kucheza zaidi ili kupandisha kiwango chake. Ikumbukwe kuwa ameanza kucheza kikapu akiwa na umri mkubwa tayari kwa sababu tu ya urefu, anahitaji muda! He is young, with time...he will be better, and inshallah...may be an MVP!

Maneno kama yako ndio anayopata kutoka kwa watu waliomzunguruka na ndio maana haonekani ku-improve na hato improve akiendelea kusikiliza maneno yenu.

Dogo anahitaji kufanya kazi ya ziada binafsi kuweza kufika kiwango kinacho stahili.Mmabo ya kukaa tu bila kujituma na kuendekeza starehe hayana nafasi kwenye level aliofikia. Hakuna kazi iliokuwa rahisi, hao mastaa wote anaowaona wanajituma sana kwenye mazoezi.

Baada kupelekwa huku kwa mara pili, nilijua wale amabao wanamtetea kila watakuwa wamejifunza kitu, kumbe bado. Kama anatak kuendelea kuwepo kwenye NBA ,itabidi ajitume sana ndani ya court na nje. Kama yeye anaona hawezi kujituma zaidi ya hapo basi hajue kuna vijana kila mwaka wanakuja kutafuta nafasi hio aliopata yeye na kushindwa kuitumia.

Safari safari zake za hovyo hovyo bongo wala hakuwa anahitaji zile na badala yake mda wake angeweka kwenye mazoezi na kujifunza game.
 
Those who watched the match Yesterday nadhani watakubaliana na mimi kuwa Hasheem hes still can make it back to the NBA ila nahitaji MWILI, he's tall that's ok ila amepungua sana.., kwa sasa ni mazoezi na msosi,
He had 4 good BS, ila kama angekuwa na mwili zaidi (Kitu ambacho kinawezekana) angefanya vizuri zaidi maana huu mchezo unahitaji nguvu


Vitu anavyofanya d league ndio vile vile alivyokuwa anafanya college. Huku Nba ukimuangalia ni muoga na nguvu hana kabisa ya kukabiliana na wenzake. Ni mambo ya mazoezi na kujaribu kupata ushauri mzuri hili ajenge confidence.

Anaweza kubadirika kama mwenyewe ataamua kujituma, lakini kama kashakata tamaa basi safari yake inaweza kuwa mwishoni kwani kuna vijana wengi sana wanagombania kupata nafasi yake kila mwaka.
 
Ebu nikumbushe tena anaendesha Gari Gani akiwaga Tanzania??

Namkumbuka hashim Thabita alimdunda TID Club moja hapa dar wakati wenzake US wapo kwenye Play off!, hahahaha Laana ya TID hiyo
 
Huyu DOgo kashusha miaka, hiyo 24 sidhani kaa ni kwlei, huyu kasema ameondoka TZ anamiaka 14 , wakati nilikua namuona naile suruali yake ya Makongo akiwa sekondari, tena form 2, sasa iweje awe 24?,wakati hata hakusoma hizo Akademi amaboz angeanza na maika 4 darasa la kwanza .


Inawezekana pia amechakachua, maana hiyo miaka ndiyo imeandikwa kwenye profile yake via wikipedia.......

Hasheem Thabeet - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Maneno kama yako ndio anayopata kutoka kwa watu waliomzunguruka na ndio maana haonekani ku-improve na hato improve akiendelea kusikiliza maneno yenu.
Hao wanaomzunguka ni vijana fulani vya kibongo vinavyojaribu kuwa vi niga dizaini hii.

Sasa type hizo zitamshauri nini Hashim?
 
Hao wanaomzunguka ni vijana fulani vya kibongo vinavyojaribu kuwa vi niga dizaini hii.

Sasa type hizo zitamshauri nini Hashim?

LOL..Kaka sikujua ..mdogo anajifanya Shaq O'neal..

Hebu cheki comment hii..

HTML:
hahaha you aint makin no money off that wack shit.

Dah..lakini yote maisha kila mtu ana haki to be left alone..
 
. Vyote hivyo anauwezo kwa vile ni mrefu na anamikono mirefu lakini si mwerevu wa kutumia.[/QUOTE]
Mikono mirefu na werevu wa kuitumia ipo bongo.Tax payer tulie tu!
 
wabongo tushazoea kubweteka. kumbukeni ya haruna moshi 'boban'. sijui anavuta!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
a couple of months ago when i went beijing nilimuona Hasheem kwenye station maarufu ya sports kule CCTV 5 akiwa anatangaza brand shoe ya Li Ning.. sijui kama watampokonya ule mkataba..

koc-11-16-2010-19.jpg
hasheem_thabeet.jpg
 
Hao wanaomzunguka ni vijana fulani vya kibongo vinavyojaribu kuwa vi niga dizaini hii.

Sasa type hizo zitamshauri nini Hashim?
Huyo mtoto wa wassira naona anamwaga mistari ya Jay Z..... ila hiyo comment ya mpd1013 "hahaha you aint makin no money off that wack shit" imenichekesha sana.
 
Back
Top Bottom