Hasheem Thabeet in D-league AGAIN!

Hasheem Thabeet in D-league AGAIN!

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
GYI0063705007_crop_450x500.jpg

sijui ni nini kinamkumba huyu bwana mdogo wetu TOLU,inakua kama vile nuksi fulani hivi,sasa kuna dalili zote za kuishia kucheza basket ireland kama sio poland
http://www.bongocelebrity.com/2011/03/.../hasheem-thabeet-in-the-d-league-again /
 
nimesoma mahali familia yake inadai kuna nguvu za giza nkacheka sana:lol:

Wanatafuta mchawi nani???:lol:

Tusicheke wala kushangaa jamani,tumuhurumie tu bwana mdogo wetu kwani haya mambo yapo sana katika jamii zetu,sasa kama mpaka baadhi ya wabunge na mawaziri wetu wanaonekanaga Bagamoyo, unategemea jirani zake au ndugu zake huyu dogo wote wanafurahia kuona kijana waliyekuwa wanajua ni mchovu kimaisha sasa anadeal la kuingiza mabilioni?Ni wa kumhurumia tu huyu bwana mdogo maana waafrika tuna tamaduni ngumu mno..
 
nimesoma mahali familia yake inadai kuna nguvu za giza nkacheka sana:lol:
kwanini nao wasiloge ILi wamuweke ndugu yao kwenye win win position?huu ndio uvivu wa kufikiri wa waafrika,nani hajaona uzembe wa huyu jamaa,sasa hivi wanatafuta mchawi.mama yeye anadai wamelogwa sababu ya range dih.
 
Tusicheke wala kushangaa jamani,tumuhurumie tu bwana mdogo wetu kwani haya mambo yapo sana katika jamii zetu,sasa kama mpaka baadhi ya wabunge na mawaziri wetu wanaonekanaga Bagamoyo, unategemea jirani zake au ndugu zake huyu dogo wote wanafurahia kuona kijana waliyekuwa wanajua ni mchovu kimaisha sasa anadeal la kuingiza mabilioni?Ni wa kumhurumia tu huyu bwana mdogo maana waafrika tuna tamaduni ngumu mno..

Ama kweli imani potofu zitatufikisha pabaya... sasa kama wanajua wanalogwa si watafute solution?
 
Tatizo la vijana wetu ni kujisikia kabla ya kufikia kilele.Waafrika wengine wanfanya vizuri lakini watanzania mhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!! Kijana akishapata kipato cha kutosha kununua nguo na mboga basi anaona kafika kumbe hapo ndo mwanzo tu.Huyu atakuwa alilewa pesa kidogo ndo kwishneeeeeee hivyo arudi bongo tusote wote maaana uchumi wa TZ ni sawa na mgonjwa wa kansa lazima kufa.
 
mazoezi kaka mazoezi, hamna short kati... ni mazoezi tu.
 
Tusicheke wala kushangaa jamani,tumuhurumie tu bwana mdogo wetu kwani haya mambo yapo sana katika jamii zetu,sasa kama mpaka baadhi ya wabunge na mawaziri wetu wanaonekanaga Bagamoyo, unategemea jirani zake au ndugu zake huyu dogo wote wanafurahia kuona kijana waliyekuwa wanajua ni mchovu kimaisha sasa anadeal la kuingiza mabilioni?Ni wa kumhurumia tu huyu bwana mdogo maana waafrika tuna tamaduni ngumu mno..

Mkuu unayozungumza yana mantiki lakini ukweli unabakia kuwa wanaotafuta wachawi nani ujue wamekata tamaa na mungu. Mungu hawezi kukusaidia kama hujajisaidia mwenyewe. Fanya mazoezi, achana na sifa, na punguza mademu njaa utafanikiwa na muweke mungu mbele ndio wenzio NBA wanavyofanya. Sasa dogo kila mwezi yuko bongo, mademu maarufu anawafukuzia yeye saa ngapi atafanya mazoezi? Inasemekana kila siku yuko Facebook tizi anafanya saa ngapi? Ajibadilishe otherwise safari ya kwenda kuchezea kikapu Poland au Russia iko njiani.
 
Labda kaimiss RBA..asiposikiliza ushauri wa wadau atakuja kula msoto Bongo..
 
dogo IQ yake sasa ndio inaanza kujionyesha aisee
 
kwanini nao wasiloge ILi wamuweke ndugu yao kwenye win win position?huu ndio uvivu wa kufikiri wa waafrika,nani hajaona uzembe wa huyu jamaa,sasa hivi wanatafuta mchawi.mama yeye anadai wamelogwa sababu ya range dih.

Tatizo ni kuwa kijana alilewa sifa despite watu kumwambia he needs to improve to remain in the league na kutokuwa a casualty of fame.No.2 pick wa kwanza kupelekwa D-League twice!!Badala ya kufanya mazoezi ya nguvu wakati wa off-season,yeye alikuwa anakula bata Dar es Salaam na kucheza kikapu mchangani-tena '21'!How can you improve?Marafiki zake wamemungusha pia!Hakuna aliyekuwa anamshauri kuwa dogo anahitaji kufanya mazoezi sana badala yake kuzunguka Dar na Range Rover wao wakaona ni bora zaidi.Ushauri wa bure dogo anatakiwa ajue kuwa bado ni mdogo sana kwenye game na kuwa No.2 draft pick,you need to train harder to prove your critics wrong.Now endorsements will be low since he is not that good any more.NCAA is not the same as NBA.NBA is tough.Afuate nyayo za King James,the dude trains hard everyday and that is why he can maintain his average points per game,and that is why he can do a number of triple doubles.Hakuna cha kulogwa wala nini,they need to start encouraging the dude to grow up.
 
kwanini nao wasiloge ILi wamuweke ndugu yao kwenye win win position?huu ndio uvivu wa kufikiri wa waafrika,nani hajaona uzembe wa huyu jamaa,sasa hivi wanatafuta mchawi.mama yeye anadai wamelogwa sababu ya range dih.

uchawi haupandi ndege hahahahahaha,umesahau nini babukijana!
 
Awe na discpline na fani yake nadhani na wabongo tumechangia kwa dogo kudrop kwa kumpamba so much as if amemaliza kila kitu ndo maana kila akipata mapumziko kidogo aja kula bata, cha muhimU bado anayo nafasi ajipange upya he can stil make it...tunamhitaji kututangaza watz..best of luck HASHIM..
 
Dogo kalewa sifa na jamii inayomzunguka haimpi ushauri na wapambe kibao alonao huko ndo wanaomwangusha pia.
 
Dogo kalewa sifa na jamii inayomzunguka haimpi ushauri na wapambe kibao alonao huko ndo wanaomwangusha pia.

namuona youtube yo yo nyingi na marepa uchwara kina wakazi
:embarassed2:
 
Back
Top Bottom