Tatizo ni kuwa kijana alilewa sifa despite watu kumwambia he needs to improve to remain in the league na kutokuwa a casualty of fame.No.2 pick wa kwanza kupelekwa D-League twice!!Badala ya kufanya mazoezi ya nguvu wakati wa off-season,yeye alikuwa anakula bata Dar es Salaam na kucheza kikapu mchangani-tena '21'!How can you improve?Marafiki zake wamemungusha pia!Hakuna aliyekuwa anamshauri kuwa dogo anahitaji kufanya mazoezi sana badala yake kuzunguka Dar na Range Rover wao wakaona ni bora zaidi.Ushauri wa bure dogo anatakiwa ajue kuwa bado ni mdogo sana kwenye game na kuwa No.2 draft pick,you need to train harder to prove your critics wrong.Now endorsements will be low since he is not that good any more.NCAA is not the same as NBA.NBA is tough.Afuate nyayo za King James,the dude trains hard everyday and that is why he can maintain his average points per game,and that is why he can do a number of triple doubles.Hakuna cha kulogwa wala nini,they need to start encouraging the dude to grow up.