babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
nimesoma mahali familia yake inadai kuna nguvu za giza nkacheka sana:lol:

Wanatafuta mchawi nani???:lol:
kwanini nao wasiloge ILi wamuweke ndugu yao kwenye win win position?huu ndio uvivu wa kufikiri wa waafrika,nani hajaona uzembe wa huyu jamaa,sasa hivi wanatafuta mchawi.mama yeye anadai wamelogwa sababu ya range dih.nimesoma mahali familia yake inadai kuna nguvu za giza nkacheka sana:lol:
Tusicheke wala kushangaa jamani,tumuhurumie tu bwana mdogo wetu kwani haya mambo yapo sana katika jamii zetu,sasa kama mpaka baadhi ya wabunge na mawaziri wetu wanaonekanaga Bagamoyo, unategemea jirani zake au ndugu zake huyu dogo wote wanafurahia kuona kijana waliyekuwa wanajua ni mchovu kimaisha sasa anadeal la kuingiza mabilioni?Ni wa kumhurumia tu huyu bwana mdogo maana waafrika tuna tamaduni ngumu mno..

dogo IQ yake sasa ndio inaanza kujionyesha aisee
kwanini nao wasiloge ILi wamuweke ndugu yao kwenye win win position?huu ndio uvivu wa kufikiri wa waafrika,nani hajaona uzembe wa huyu jamaa,sasa hivi wanatafuta mchawi.mama yeye anadai wamelogwa sababu ya range dih.

he he hee,nakumbuka sana bac tumshauri arudi kwa babu kuna dawa akaonje asione noma.uchawi haupandi ndege hahahahahaha,umesahau nini babukijana!
Dogo kalewa sifa na jamii inayomzunguka haimpi ushauri na wapambe kibao alonao huko ndo wanaomwangusha pia.