Katika maisha kuwa namba moja ni kitu rahisi, ila hamna kazi ngumu kama ku-maintain kuwa namba moja kila siku, yaani hapo unahitajika ujitume kila siku na uwe na nidhamu ya hali ya juu ya kazi yako. Inawezekana Hashim alivimba kichwa akajiona anajua na akawa mvivu wa mazoezi.