Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Katika maisha kuwa namba moja ni kitu rahisi, ila hamna kazi ngumu kama ku-maintain kuwa namba moja kila siku, yaani hapo unahitajika ujitume kila siku na uwe na nidhamu ya hali ya juu ya kazi yako. Inawezekana Hashim alivimba kichwa akajiona anajua na akawa mvivu wa mazoezi.
 
Huyu mwamba karudi Pazi , ana plan ya kukipiga ligi ya mchangani ,Tozonia .
Dah ! ,Jamaa anasikitisha
 
Back
Top Bottom