Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Ataweza kumkaba fundi wangu steph curry au the beast le bron james na sasa ivi GSW tumeongezewa kelvin durrant
Welcomebacknba
 
hivi mtaalamu wa kikapu nipe jibu....kucheza D-league na kucheza ligi ya chini ipi ina mpunga mrefu?!
Hizi minor leagues karibu zote payment yake ndogo sana so, I think, D-League ni bora kuliko nyingi ya hizi minor leagues kama sio zote. Lakini ingawaje nasema D-League ni bora compared to others lakini hata na yenyewe pesa yake ni ndogo sana kwahiyo what worth more for D-League is exposure and not money!
 
amekua sasa yaelekea akipewa nafasi tena hata zembea
 
amekua sasa yaelekea akipewa nafasi tena hata zembea
You're right... endapo atapata second chance ingawaje regular season ndo ishafika, I believe atakuwa very committed hivi sasa. Ukifuatilia maelezo ya Frank Matrisciano na mwenzake Milt Newton, unajua kabisa kwamba Hasheem huyu sio yule. Huyu Frank wenyewe wanamuita Hell's Trainer... in 10, wanaomalizaga training zake huwa hawafiki 5 na wengine wote wanaingia mitini! Lakini Hasheem amedumu nae na anakuambia kwa sasa Hasheem isn't only BIG lakini anaweza ku-translate body lake into a game... sio yule Hasheem mzembe mzembe!
HELL.png

HELL2.png
 
We jamaa sijawahi kukuona ukiongea mambo positive kwa wenzako... yaani always wewe ni negativities tu!

We unataka positive tuu ya nini kwa manufaa ya nani??

Nasema hivi bongo hakuna mtu Mwenye maana wote pumba maandazi tuuu
 
We unataka positive tuu ya nini kwa manufaa ya nani??

Nasema hivi bongo hakuna mtu Mwenye maana wote pumba maandazi tuuu
Pamoja na wazazi na ndugu zako sio?!!
 
Back
Top Bottom