Bado anakuja na Range rover lake uwanjani ?Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.
Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo.
Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa, tuna ya kujifunza mengi toka kwa Hasheem
Wana kimo cha kawaida....nadhani hashimu alikuwa na matatizo ya hormone ndio maana kawa mrefu vile.Hivi wazazi wa huyo mwamba wapo na height kama ya jamaa hapo ama inakuaje maana sio kwa kimo hicho ..
Ndio ila jamaa hawezi tosha muleLakini hata IST si chombo cha usafiri?
Alichezea shilingi karibu na shimo la choo, wakati wenzake (NBA) wanafanya mazoezi yeye anakuja TZ kutanua mwishowe akatemwa. Sidhani alipata timu tena.Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.
Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo.
Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa, tuna ya kujifunza mengi toka kwa Hasheem
Temeke eaglesSasahivi anachezea timu gani nba ?
Kuna jamaa mwaka 2008 aliuliza swali kama hili kwenye uzi fulaniHivi wazazi wa huyo mwamba wapo na height kama ya jamaa hapo ama inakuaje maana sio kwa kimo hicho ..
Sasa Mkuu Kama Hauna Team NBA na Hauna access unafanyaje wa kwetuJamani tuweni serious kidogo.
Hivi kweli Hashimu wa NBA ni mtu wa wakurudi na kucheza RBA?
Mwamba yupo likizo, timu anayochezea kwa Sasa ni Hsinchu pioneers ya Taiwan .. ni kama samatta anavyorudi kucheza samakiba kipindi cha likizo ..Jamani tuweni serious kidogo.
Hivi kweli Hashimu wa NBA ni mtu wa wakurudi na kucheza RBA?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwamba yupo likizo, timu anayochezea kwa Sasa ni Hsinchu pioneers ya Taiwan .. ni kama samatta anavyorudi kucheza samakiba kipindi cha likizo ..
Alikuwa ni 2ñd pic *****, Curry akiwa sjui wa 9Dogo alilewa sifa mapema akashindwa kujiendeleza NBA haiwezekani katika league ya chuoni alikuwa pendekezo la kwanza kichaguliwa halafu unafika ligi kuu unachemka kiasi kile.
Unabisha au ?? ..[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Alikuwa drafted pamoja na wakina James harden ..Alikuwa ni 2ñd pic *****, Curry akiwa sjui wa 9