Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.

Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo.

Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa, tuna ya kujifunza mengi toka kwa Hasheem
 
Bado anakuja na Range rover lake uwanjani ?
 
Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.

Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo.

Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa, tuna ya kujifunza mengi toka kwa Hasheem
Alichezea shilingi karibu na shimo la choo, wakati wenzake (NBA) wanafanya mazoezi yeye anakuja TZ kutanua mwishowe akatemwa. Sidhani alipata timu tena.
 
Back
Top Bottom