Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nahisi ni time tu imemtupa mkono.Alichezea shilingi karibu na shimo la choo, wakati wenzake (NBA) wanafanya mazoezi yeye anakuja TZ kutanua mwishowe akatemwa. Sidhani alipata timu tena.
Ila nadhani HT hakuwa na Kipaji, mwili na urefu vilimbeba sana, ujue vitu vya Kuungaunga Uwaga havidumu wa kwetuAlikuwa drafted pamoja na wakina James harden ..
Ila nadhani HT hakuwa na Kipaji, mwili na urefu vilimbeba sana, ujue vitu vya Kuungaunga Uwaga havidumu wa kwetu
Mkuu watetezi wake wanasema kwamba Wala halina ubaya.... Wanasema Sasa yuko Asia na tayari alishacheza Japan....bado ana nafasi ya kucheza nje lakini hapa anacheza kuwa na fitness ikifikia wakati anaondoka awe vizuri....Watu wanajifua na kuweza kupata mafanikio makubwa tu hasa wanapojua pesa ya NBA ilivyo ndefu.
Ni kweli, kipaumbele namba moja ni height ikiwa average ni 6 ft 7 inch sasa yeye Hasheem ana 7'3 ambapo ni above average .. ukiwa mfupi itakubidi uwe extra ordinary kuwa drafted NBA .. kwahiyo ni kweli jamaa height ilimbeba hata ukiangalia height ya basketballers wengi wa generation hii ya NBA hawafiki kimo cha hasheem ..Ila nadhani HT hakuwa na Kipaji, mwili na urefu vilimbeba sana, ujue vitu vya Kuungaunga Uwaga havidumu wa kwetu
Ila nadhani HT hakuwa na Kipaji, mwili na urefu vilimbeba sana, ujue vitu vya Kuungaunga Uwaga havidumu wa kwetu
Mkuu watetezi wake wanasema kwamba Wala halina ubaya.... Wanasema Sasa yuko Asia na tayari alishacheza Japan....bado ana nafasi ya kucheza nje lakini hapa anacheza kuwa na fitness ikifikia wakati anaondoka awe vizuri....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu anguko la mtu analitengeneza mwenyewe, hakunaga mtu anaekutengenezea anguko kama Haujawa tayari kuangukaKuna watu hua wanafurahia sana anguko la mtu!
Sijui hali hii husababishwa na nini aisee!
Wataalamu nisaidieni jibu.
Jamaa linamwili naona vijana wanajigonga gonga tu mgongoni mwakeDogo Hasheem ndani ya RBA
Mama yake Hashim aliwahi sema kwamba babu yake alikuwa giant sana hivyo Kuna hizo element kwao huko Dodoma.Wana kimo cha kawaida....nadhani hashimu alikuwa na matatizo ya hormone ndio maana kawa mrefu vile.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Inawezekana ila sio kwa kufikia kimo cha hasheem ..Mama yake Hashim aliwahi sema kwamba babu yake alikuwa giant sana hivyo Kuna hizo element kwao huko Dodoma.
Jamaa ni pande al mtu,angekuwa anacheza volleyball sijui angekuwajeInawezekana ila sio kwa kufikia kimo cha hasheem ..
Mkuu mimi nimeuliza sababu ya watu kufurahia anguko la mtu mwingine,sijauliza sababu ya anguko la mtu husababishwa na nini,kwenye maisha kuna ups n downs ni jambo la kawaida,cha ajabu ni mtu kufurahia anguko la mwingine!Mkuu anguko la mtu analitengeneza mwenyewe, hakunaga mtu anaekutengenezea anguko kama Haujawa tayari kuanguka