Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

Watu wanajifua na kuweza kupata mafanikio makubwa tu hasa wanapojua pesa ya NBA ilivyo ndefu.
Mkuu watetezi wake wanasema kwamba Wala halina ubaya.... Wanasema Sasa yuko Asia na tayari alishacheza Japan....bado ana nafasi ya kucheza nje lakini hapa anacheza kuwa na fitness ikifikia wakati anaondoka awe vizuri....

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila nadhani HT hakuwa na Kipaji, mwili na urefu vilimbeba sana, ujue vitu vya Kuungaunga Uwaga havidumu wa kwetu
Ni kweli, kipaumbele namba moja ni height ikiwa average ni 6 ft 7 inch sasa yeye Hasheem ana 7'3 ambapo ni above average .. ukiwa mfupi itakubidi uwe extra ordinary kuwa drafted NBA .. kwahiyo ni kweli jamaa height ilimbeba hata ukiangalia height ya basketballers wengi wa generation hii ya NBA hawafiki kimo cha hasheem ..
 
Ila nadhani HT hakuwa na Kipaji, mwili na urefu vilimbeba sana, ujue vitu vya Kuungaunga Uwaga havidumu wa kwetu

Sio issue ya kipaji, alianza kucheza akiwa mdogo in his mid-teens...

Then akaenda moja ya vyuo vizuri vinavyoendeleza kipaji na akawa mzuri haswa...

Alipoteleza naamini anajua yeye mwenyewe...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Asia na NBA wapi na wapi Mkuu!? Uvivu ni ADUI mkubwa wa maendeleo.
Mkuu watetezi wake wanasema kwamba Wala halina ubaya.... Wanasema Sasa yuko Asia na tayari alishacheza Japan....bado ana nafasi ya kucheza nje lakini hapa anacheza kuwa na fitness ikifikia wakati anaondoka awe vizuri....

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa hana Agent anaeweza kumtafutia club nzuri? Huyu hata ligi ya china anaweza kucheza.

Mi naona tatizo lake ni dogo. Atafute Agent amtafutie timu.
 
Mkuu anguko la mtu analitengeneza mwenyewe, hakunaga mtu anaekutengenezea anguko kama Haujawa tayari kuanguka
Mkuu mimi nimeuliza sababu ya watu kufurahia anguko la mtu mwingine,sijauliza sababu ya anguko la mtu husababishwa na nini,kwenye maisha kuna ups n downs ni jambo la kawaida,cha ajabu ni mtu kufurahia anguko la mwingine!
 
Enzi hizo za shule pale stand ya Mwenge Makondakta walikua wanamkataa HT maana alikua mwanafunzi, hawezi kusimama kwa urefu wake na kulipia siti ya mtu mzima mtihan basi ilibidi awe anakalia siti kwa bei ya mwanafunzi, Makondakta walikua wanakasirika mnooo siku zingine tunazuiwa kupanda gari sababu yake,

#Memories.
 
Back
Top Bottom