Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
walitaka kum-trade lakini GSW walikataa.tatizo hasheem inasemekana mpaka mazoezini hakuwa anajituma.Ok watu wanasahau hata Birdman alikuwa huku kwenye D-league. Kitu kinachonishangaza ni kuwa kwanini MEM wameshindwa hata kumtrade kwa timu nyingine na badala yake wamempeleka kwenye lower league? Huu ni ushenzi wa hali ya juu. Kama huhitaji services za mtu kwanini umuharibie CV? Mi naona MEM wenyewe wanamatatizo ya ku-observe facts.
hakuna.hasheem kaweka historia na yeye lol.Mara ya mwisho #2 overall draft pick kuwa demoted kwenye d league ilikuwa lini? .
nba tv huwa wanaonesha sometimes games zao.- Hivi hii D-league ni watu gani tena na huwa wanaichezea wapi na wachezaji wake kina nani mbona hatujawahi kuwasikia? Wanaonekana kwenye channel gani ya TV maana sijawawahi kuwaona ESPN au wapo kule History TV channel?
Respect.
FMEs!
hakuna.hasheem kaweka historia na yeye lol.
walitaka kum-trade lakini GSW walikataa.tatizo hasheem inasemekana mpaka mazoezini hakuwa anajituma.
labda atakuwa kajifunza na ataweza sasa kupigania maisha upya.
nimesoma comments za fans wa memphis wamempaka kinoma.That's my point. Hata jamaa wa Pardon the Interruption kwenye ESPN leo walikuwa wanamzungumzia kwa mshangao mkubwa kwamba kutoka kuwa #2 overall draft pick hadi kwenye d league.....how does this happen? This guy is a bust!
kuhusu mazoezini hajitumi ni maneno ya kocha wake alipokuwa ana mlinganisha na haddadi(aliye mnyang'anya namba hasheem).Hasheem nadhani ni ugeni wa mazingira mapya, attention, pressure alikuwa anaipata. Inaweza kuwa iliathiri ukuaji wa game yake and the team did not help at all. Lakini haiingii akilini kwamba alikuwa hajitumi. Binafsi I don't buy that.
nimesoma comments za fans wa memphis wamempaka kinoma.
mda anao lakini ni wake up call.naona leo ka-score 8 points wameshinda.jamaa anahitaji sana ku-improve manake kuna wachezaji wengi sana wana fight kupata chance aliopata yeye na hapo subiri watoto wengine wanaokuja kutoka college.
angetumia opportunity vizuri wa mwaka wake huu wa kwanza atleast angekuwa kama MBENGA lol.Mbenga yeye hana noma anapiga makofi tu huku anakula rings zake lol.
tatizo hapo ni hilo #2 draft ,nafikiri media nayo ilichangia sana but still lawama zote nampa hasheem mwenyewe.Shit....hata Mbenga hajapelekwa d league. Lakini pia Mbenga hakuwa #2 draft pick.....kwa hiyo hata akipelekwa d league au hata Europe hakuna ubaya. Hashimu was supposed to be good. You don't become #2 pick if you are not good. Hata Jordan mwenyewe hakuna #2 mwaka aliodraftiwa
kuhusu mazoezini hajitumi ni maneno ya kocha wake alipokuwa ana mlinganisha na haddadi(aliye mnyang'anya namba hasheem).
kuhusu ugeni kusemakweli body language yake nilikuwa naiona kwamba anauoga fulani.jamaa ugali sijui kaacha kula lol.
kwa wachezaji waliokuwa nao memphis kusema kweli wanajitahidi sana tu.Timu yenyewe anayochezea ni ya walewale tu. Leo wamepewa kitu na timu ya MJ, Hornets. They have a group of mediocre, na kuna wacheza wa maana wawili watatu hivi akina Mayo, Gay, Gasol na Zac. The rest ni mediocre tu, na its illogical kwamba Hasheem alikuwa hajitumi lakini anacheza, na Haddad benchi? Its simply BS.