Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Vizuri akaenda bagamoyo kusafishwa nyota....
very sad.............
 
NAONA hURUMA, ILA BADO ANAWEZA KUPIGANIA TENA NAFASI , BADO KIJANA MDOGO.
Kina Shaq wana miaka 42 na bado wanatimbwilika.
 
Hapo hakuna cha mchawi wala nini!

Hapo Jamani NBA sio mchezo nyie kwa wale walio check NBA ALL STARS ya 2010 Dallas ndio mgejua ni nini maaana ya kucheza NBA mwazani KOBE alivyotokea High School mpaka NBA alikuwa anafanya mchezo ni kuwa ngangali na kujituma ila dogo nae amaezidi hajitumi sana kacheza game chache kila siku anaumia nikuwa hawi makini na michezo juzi hapa kaja shemeji yangu toka Texas akaniambia hivi Hashm kweli yuko fit na anataka kupiga game la NBA au? yuko kama amelegea sana ati wenzake wanapiga mazoezi mbaya chalii anatakiwa ajitahiidi jamani aaache uzembe na kama kuan mtu yuko karibu nae amwambie.

Kuna vijana wameingia nae hiyo league na nivijana wadogo hata kwa maumbile wanupiga huo mchezo kama nini iweje yeye Big awe lege lege penye ukweli lazima tusema na hao Clouds FM wanapenda sana kumsifia sana jamani NBA si mchezo nyie mwaona tu wakina LeBrone James(23) wanvyotoka kaingia toka College anawika mpaka leo sasa iweje yeye mtoto mdogo anashindwa wika au kuonyesha makeke aige hata wenzake waki Hakim Orajwan na Dikembe Mutombo walikuwa wana wika NBA si mchezo.

Hashm Mwambiena aamke sasa aache mchezo
 
tatizo pia dogo bitozi sana,
hajakuwa mature mentally.
hashauriki
 
Memphis Grizzlies center Hasheem Thabeet(notes), the second overall pick in the 2009 NBA draft, is headed to the Development League.
Thabeet has been optioned to the Dakota Wizards, said Bill Duffy, Thabeet’s agent. He will be the highest draft pick ever to go to the D-League.
Thabeet has played sparingly in his rookie season, averaging 2.5 points, 2.9 rebounds, 1.2 blocks, and 0.1 assists in 10.3 minutes over 50 games. He recently lost his place in the Grizzlies’ rotation to second-year center Hamed Haddadi(notes).
Thabeet is expected to make his D-League debut on Friday when Dakota plays Erie.
--------------------------
Hakuna cha kulogwa wazee, ni performance yake ambayo bado haikuwa nzuri sana (see bold sentence above) ndio imefanya apelekwe D-League. Huko atapata muda zaidi wa kucheza kwani uwezo wa D-Leaguers ni lower than NBA. Afanye bidii tu zaidi, inshaalah atarudi NBA with time.

Ngoja NBA awaachie high-performing rookies kama Tyreke Evans, Brandon Jennings na Stephen Curry.
 
.......kwani wakwanza yeye kushushwa?

Tatizo sio ati yeye ndie wa kwanza au sie wakwanza au ati kalogwa no ni kuwa yeye mwenyewe kajitakia huwezi ukachezea chance kama ile pindi uipatapo wakuu pendeni kujua na NBA games sio lelemama kwa wale wanaojua Kikapu waseme hapa, anapaswa kufanya extra practice jamani.

unajua asije akawa ameridhika huyo dogo just kuingia tu NBA labda ndio ilikuwa tu ndio Target yake? pale kuna mengi ya kufanya jamani.

narudia tena game ya All stars NBA 2010 day before the final kulikuwa na slum dunk competition kabwana mdogo NATE Robison alimshinda Rookie anaitwa DeRozon ambaye ni age sawa na Hashm sasa fikilieni hao Rookies wako au wameisha ingia hadi kwa All stars game

Watanzania wamesha mloga

Wabongo bwana,the first thought to cross our minds ni witchcraft.
Uzembe wake bwana,either alibweteka sana or akawa mvivu hence a failure to deliver what was expected of him!
 
pengine masifa yalizidi na mara nyingi mgema akisifiwa tembo hulitia maji maana alisifiwa kabla hajaanza kuonyesha uwezo wake. ingekuwa vyema alivyopata hiyo bahati wangekaa kimya angalau waone hayo matunda yake japo robo then wamsifie sasa kama kashushwa maana hata bado hatujatangazika kupitia yeye.

ila kama ataguandua makosa yako wapi anaweza kaza buti wakamrudisha.
 
Wabongo bwana,the first thought to cross our minds ni witchcraft.
Uzembe wake bwana,either alibweteka sana or akawa mvivu hence a failure to deliver what was expected of him!

SAFI
Umelonga mpwaaa
wao wanazi tangazo limeandika I LOVE THIS GAME au NBA IS AMAZING GAME wanazani tu ni bora matangazo teh teh teh is where amazing is available wakuuuu ni lazima mchezaji wa hiyo league ucheze haswa na ufanya mazoezi na kukidhi kiwango
 
center Hasheem Thabeet(notes), the second overall pick in the 2009 NBA draft, is headed to the Development League.
Thabeet has been optioned to the Dakota Wizards, said Bill Duffy, Thabeet’s agent. He will be the highest draft pick ever to go to the D-League.
Thabeet has played sparingly in his rookie season, averaging 2.5 points, 2.9 rebounds, 1.2 blocks, and 0.1 assists in 10.3 minutes over 50 games. He recently lost his place in the Grizzlies’ rotation to second-year center Hamed Haddadi(notes).
Thabeet is expected to make his D-League debut on Friday when Dakota plays Erie.
--------------------------
Hakuna cha kulogwa wazee, ni performance yake ambayo bado haikuwa nzuri sana (see bold sentence above) ndio imefanya apelekwe D-League. Huko atapata muda zaidi wa kucheza kwani uwezo wa D-Leaguers ni lower than NBA. Afanye bidii tu zaidi, inshaalah atarudi NBA with time.

Ngoja NBA awaachie high-performing rookies kama Tyreke Evans, Brandon Jennings na Stephen Curry.

Haya yawafikia wale wanao ongeaa sana na kudhani NBA ni League ya lele mama

Clouds FM kipindi cha Jahaziii G.Habshi na mwenzake Kibonde waseme hayo hapo juuu watanzania wajue NBA sio mahali pa kwenda kula starehe wakuu lazima mtu ujiweke fit na performance iwe juuu. na mfano mzuri hapo juu ulipo pigiwa mstari haoo Rookies mkiwaona sio mchezo ati wana jua nini maana ya kuwa NBA League, My GOD THIS IS NBA WHERE AMAZING THINGS CAN HAPPEN, mkisikia mtangazani anasema hayo maneno ujue hapo mchezaji kafanya mashikoro mageni ambayo ameyafanyia mazoezi.

Hasheem Chemka mdogo wangu

Kazi kwer kwer, Wa TZ we need to wake up from a lot of things especial from hallucination, and we need to start believing to our self because 98% of what we are doing we are copying. Look forinstance the so called bongo movie industry yoote ni 100% Nigerian copied movies but in swahili, local bands ndio yale yale Zairwaa, ukija mpira watu wanacheza kwa kuigiza na kukopi walichokiona kwa TV. Tuwe innovative na tuweze kuimprovise kidogo, hata siasa tunakopi kwa watoto wa kambo. We need revival period.
 
Thabeet, if you happen to see this message...please take the message positively and use it personally to grow and look forward to come up before even season ends. It is possible, it is a challenge, it is change and you have to manage and manage ot positively and it will be a positive change and it will benefit in the near future. It is still a high profile job as many are not where you are but they would liked to be there. You are talented and for us we only pray the best!!!
 
Mmmmh masikini Hasheem, nilifikiri ameshauaga umasikini!!! Kumbe loh....

Wakuu yaliyosemwa yameshatimia, kuna thread ina hii issue lakini nimeona niweke update hapa. Timu ya Thabit yaamua kumpeleka D-league. Hii move haikushtua watu, kilichoshangaza ni 2nd pick kupelekwa D-league inaonekana jamaa alikuwa overated hakustahili kuwa 2nd pick achilia mbali kwenda NBA. Wanamichezo wanasema itakuwa maajabu huyu bwana kurudi NBA!.
 
Hakuna jambo lisilowezekana akiweka bidii zaidi atarudi NBA,jamani unamfahamu Albert Einstein alikataliwa Chuo cha polytech Hakukata tamaa alikuja kufanya ugunduzi katika science,Wapo wengi tu.
Hivyo Hashim aaangalie ni wapi alipoanguka ili arekebishe na asonge mbelle,ndo mitihani katika kuelekea mafanikio
 
Huko ndio kumsifia mgema,mnategemea nini kama sio tembo kutiwa maji !!
 
Journey yake imefikia tamati kwa sasa anakwenda kucheza na yosso wenzie
 
kuna kitu kuhusu sisi
watanzania.....
we always fails in the end,hata kama tukianza vizuri
 
Back
Top Bottom