Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Hii D league mbona sijawahi kuisikia? The kid should have stayed in College one more year to gain experience. NBA si mchezo, and when you do not deliver you are out.

D-league ni Development League mkuu. I think the best way to describe it ni kwamba kama NBA ni daraja la kwanza basi D-league daraja la pili.
 
Ila I must say this wakuu. Hi habari ni ya michezo mbona muanzisha mada kaiweka kwenye jukwaa la siasa? Ni kupoliticize situation ya Hasheem au ni kutaka habari ipate wasomi wengi?
 
well bado umri una mruhusu kabisa sema anahitaji kukaza buti sana.anahitaji kujituma sana kila kona.sijui uoga au nini unamsumbua lakini body language yake uwanjani unamuona kabisa kwamba hajiamini.
 
Hahahahahaaa...hivi Kandi man aliishia wapi? Mara ya mwisho kumwona alikuwa anachezea Wolves....Ila Kandi hakuwahi kuwa demoted kwenye d league....au nimekosea?

Lakini kama ulivyosema....punde si punde tutaanza kuambiwa tunamwonea wivu. Wewe subiri tu.
Kandi aliondoka kwenye league, sasa hivi mtu wa business. Uzuri kapiga buku, ndugu yetu sijui!
 
Time will tell but jamaa in short ni urefu ndio unamsaidia but zaidi ya hapo he has to pull his socks up. Nadhani watamrudisha kwani Haddadi mwenyewe is disastrous nadhani akijitahidi akaacha uchekibobu he will be back in a team.

hio red mkuu ndio tatizo kubwa linalowacost rookies.
 
Huyu alitakiwa kubaki connecticut at least kwa mwaka kama siyo zaidi, sasa kama hii ni kweli si ajabu ndiyo akawa anaiga rasmi NBA maana hata huko D league kuna vijana wakali sana ukilinganisha na Hasheem. Kila la heri Hasheem ukikaza buti basi una future nzuri sana NBA, hata kama unatakiwa uende D league.
 
Toka mwanzo niliona kama hakuwa kwa right team. Cha muhimu ahame timu, kwani contract zinasemeje? Umri wa kucheza ktk top level ndio huu, akizubaa tu people will forget about him soon kwa sababu talents zinakuja kila mwaka.
 
Updated: February 25, 2010, 4:39 PM ET
Sources: Thabeet headed to D-League


By Marc Stein
ESPN.com
Archive

The Memphis Grizzlies are sending No. 2 overall pick Hasheem Thabeet down for a stint in the D-League.


4016.jpg

Thabeet


I tell u what, this is the end of the road in NBA for this player. I would advise him to go back to college and finish his degree course.
 
No matter how we put it, hii ni habari mbaya... with all that farce about Hasheem!! kwenye ile thread ya journey yake yote haya yalishaonywa ila naona dogo labda ndo kafikia maximum yake

I wish him well, akishindwa aje hom, kuna Pazi
 
Tovuti ya ESPN imetangaza kwamba Hasheem Thabeet mmatumbi mwenzetu aliyebahatika kucheza ligi ya Basketball ya Marekani (NBA), anatarajiwa kushushwa daraja na timu yake ya Memphis Grizzliers na sasa ataenda kucheza ligi ya "yosso" ya NBA Developmet League.,hii ni baada ya kushindwa kuonyesha makeke yaliyotarajiwa katika ligi ya wakubwa.

Kwa habari zaidi gonga hapa
Ukitaka kujua zaidi kuhusu ligi hiyo ya yosso bofya hapa
 
Tovuti ya ESPN imetangaza kwamba Hasheem Thabeet mmatumbi mwenzetu aliyebahatika kucheza ligi ya Basketball ya Marekani (NBA), anatarajiwa kushushwa daraja na timu yake ya Memphis Grizzliers na sasa ataenda kucheza ligi ya "yosso" ya NBA Developmet League.,hii ni baada ya kushindwa kuonyesha makeke yaliyotarajiwa katika ligi ya wakubwa.

Kwa habari zaidi gonga hapa
Ukitaka kujua zaidi kuhusu ligi hiyo ya yosso bofya hapa

Thabeet headed to D-League
The Memphis Grizzlies are sending No. 2 overall pick Hasheem Thabeet down for a stint in the D-League, the team announced on Thursday.


4016.jpg

Thabeet


Two sources close to the situation confirmed Thabeet's impending D-League assignment to the Dakota Wizards to ESPN.com earlier Thursday.


Thabeet is the highest draft pick ever sent to the D-League by an NBA team. Players can only be assigned to D-League duty by their NBA teams during their first two seasons as a pro.


Thabeet's assignment to the Wizards -- Memphis' North Dakota-based affiliate -- was first reported by the Web site RidiculousUpside.com, which covers the D-League extensively.


Although the Grizzlies acknowledged that Thabeet was a long-term project when they selected him with the No. 2 pick in June over the likes of local collegiate star Tyreke Evans, Memphis was hoping that the 7-foot-3 center could survive as a backup in his first NBA season. But Grizzlies coach Lionel Hollins announced earlier this week that second-year center Hamed Haddadi of Iran would begin receiving Thabeet's minutes behind starting center Marc Gasol.


The Grizzlies, according to NBA front-office sources, offered Thabeet and second-year guard O.J. Mayo to the Golden State Warriors for Warriors guard Monta Ellis before the Feb. 18 trade deadline but were turned down.


Thabeet, 23, is averaging just 2.5 points and 2.9 rebounds in 10.3 minutes per game for the Grizzlies and will supplant Portland's Martell Webster -- who played eight games for the now-defunct Fort Worth Flyers in the D-League in 2005-06 as the No. 6 overall pick in the draft -- as the highest draftee ever to play in the NBA's official minor league.


Senior writer Marc Stein covers the NBA for ESPN.com.
 
ahhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!! yaani sijui mchawi nani?????????????? omba mungu atakusaidia uende kwa wakubwa
 
Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai sijui wabongo tuna gundu gani aaaahhh!!

Grizzlies Assign Hasheem Thabeet To Dakota


Rocky Widner/Getty Images/NBAE



NEW YORK, Feb. 25, 2010 – The Memphis Grizzlies assigned center Hasheem Thabeet to the Dakota Wizards, Memphis’ NBA D-League affiliate, it was announced today. The assignment is the 23rd time an NBA player has been assigned to an NBA D-League affiliate this season.
Thabeet, the second overall selection in the 2009 NBA Draft, becomes the highest-drafted NBA player to join an NBA D-League roster. In 50 games for Memphis this season, he averaged 2.5 points, 2.9 rebounds and 10.3 minutes.
A 7-3 native of Tanzania, Thabeet played three seasons at the University of Connecticut, averaging 10.3 points and 8.5 rebounds in 100 career NCAA games. Named the Big East Co-Player of the Year and the Big East Defensive Player of the year in 2009, Thabeet was also a two-time NABC National Defensive Player of the Year. During his final campaign at UConn, Thabeet averaged 13.6 points, 20.8 rebounds and 4.2 blocks (second in the nation).
Grizzlies fans can stay in step with Thabeet, who will join the Wizards on the road today and be available when the team faces the Erie BayHawks in Pennsylvania tomorrow at 7 p.m. ET, by logging onto nba.com/futurecast to watch all of the Wizards games live, online, for free.
 

Attachments

  • image002.jpg
    image002.jpg
    40.5 KB · Views: 181
Mmmh Jamani... Lakini ataendelea kubaki katika historia kama Mtanzania wa kwanza kucheza NBA... Sasa wale WANA-FIKI waliokuwa wanamtumia akija bongo wasije wakamtupa...
 
dogo atatoka...hizo ni baadhi tu ya vigingi ambavyo mtu anakuwa anapitia kuelekea mafanikio ya kweli..atarudi kwenye ligi kama kawaida with the high paying salary
 
Back
Top Bottom