Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Yeah, MEM wanajitahidi kulinda backyard sio kitoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nawezaje kupata jersey ya Hasheem,naomba mtu mwenye kufahamu online shop ninayoweza kununua original memphis #34 jersey anisaidie
mwanzo unakuwa hivyo kwa rookie bado aja adapt na kila atakapoendelea ku-improve ndio dakika zinaongezwa.its a longterm process.atafanikiwa tu akiendelea kujituma.ingawa bado na wasiwasi sana na future ya hasheem inacheza muda mfupi sana hii inamaana kwamba hajakubalika sana ndani ya timu,au labda wanampa muda wa kujifunza zaidi,hakuna mechi ambayo nimeona amecheza dakika kumi
![]()
MEMPHIS, TN - JANUARY 22: Rudy Gay(notes) #22 and Hasheem Thabeet(notes) #34 of the Memphis Grizzlies celebrate a game winning shot against the Oklahoma City Thunder on January 22, 2010 at at FedExForum in Memphis, Tennessee.
![]()
MEMPHIS, TN - JANUARY 22: Hasheem Thabeet(notes) #34 of the Memphis Grizzlies blocks a shot attempted by Thabo Sefolosha(notes) #2 of the Oklahoma City Thunder on January 22, 2010 at at FedExForum in Memphis, Tennessee.
Vipi wameshacheza na Lakers?
Abuu tuletee picha mwanawane.