Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Niiceeeee. A.I angebaki tu Memphis. Inabidi waimarishe ulinzi sasa, wanaruhusu vikapu vingi, kwenye playoffs itawaletea matatizo.
 
Jamani nawezaje kupata jersey ya Hasheem,naomba mtu mwenye kufahamu online shop ninayoweza kununua original memphis #34 jersey anisaidie
 
ingawa bado na wasiwasi sana na future ya hasheem inacheza muda mfupi sana hii inamaana kwamba hajakubalika sana ndani ya timu,au labda wanampa muda wa kujifunza zaidi,hakuna mechi ambayo nimeona amecheza dakika kumi
 
mwanzo unakuwa hivyo kwa rookie bado aja adapt na kila atakapoendelea ku-improve ndio dakika zinaongezwa.its a longterm process.atafanikiwa tu akiendelea kujituma.
 
Daaah mazee wacha wale bata tu, shughuli vijana wanaifanya aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…