Bora astaafu tu.View attachment 2759540Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi
Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua mchezo huu hapa nchini
Mimi kama mtanzania nampa pongezi kwa huamuzi huu wa kizalendo
Yule si yupo hapo Korogwe?View attachment 2759540Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi
Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua mchezo huu hapa nchini
Mimi kama mtanzania nampa pongezi kwa huamuzi huu wa kizalendo
Lijendari 😉But….
Legend 👋Mimi siyo mjuzi wa kiswahili sana, ila hiki cha "Thabeet kaludi" kinatisha!
Amelejea 🤣🤣🤣Ameludi ❌
Amerudi✅
Ulisi 🤣🤣🤣🤣Amelejea 🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 acha zalau weweUlisi 🤣🤣🤣🤣
Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi