Hasheem thabit aludi nchini kuchezea paz

View attachment 2759540Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi

Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua mchezo huu hapa nchini

Mimi kama mtanzania nampa pongezi kwa huamuzi huu wa kizalendo

Atakuwa hana option, Hakuna Uzalendo wa kujiumiza na kupunguza kipato.
 
View attachment 2759540Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi

Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua mchezo huu hapa nchini

Mimi kama mtanzania nampa pongezi kwa huamuzi huu wa kizalendo
aludi ndio nini
 
Acha arudi home sweet home.....kama ana mtaji awekeze
 
Back
Top Bottom