Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,nimeona ulinitumia ujumbe,lakini Pm yangu haifungukiLijendari 😉
View attachment 2759540Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi
Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua mchezo huu hapa nchini
Mimi kama mtanzania nampa pongezi kwa huamuzi huu wa kizalendo
aludi ndio niniView attachment 2759540Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi
Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua mchezo huu hapa nchini
Mimi kama mtanzania nampa pongezi kwa huamuzi huu wa kizalendo
Bata limemponza alikuwa anatoka USA kuja kwenye fiesta ya clouds???Welcome back home Hasheem.
-Kaveli-