Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Naamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anao
Bora akae huko kwanza kwani kipindi kaanzisha Tabia ya kurudi rudi Tanzania kila rikizo na akiwa Dar hukomaa na michepuko non stop ndipo kiwango chake kilishuka ghafra na hali kuwa tete, huko Dar kuna starehe nyingi zitamfanya astaafu mapema ni bora awekeze tu lakini awe anakuja mara moja moja kuangalia uwekezaji wake.
 
Wenzake wanaijeria na wa Nchi zingine wanaocheza NBA huwakuti kurudi rudi nchini mwao hovyo hovyo bali kipindi cha rikizo hukitimia kufanya mazoezi binafsi kujiweka fiti zaidi
 
Dah! Alichangaa vibaya karata zake aisee
 
Huyu Jamaa Anatakiwa Arudi Huku maana Urefu wake Tu unafaa kuwa Nembo ya Taifa letu!
 
Huyo dogo alipata bichwa baada ya kupata namba NBA akaleta ubishoo fasta wakamtema hivi sasa amebaki kupiga picha tu huko kwa Trump.
Aliendekeza starehe kuliko mazoezi pia kila mara akawa yupo Tanzania na pindi akiwa huko Dsm usiku ni kuzunguka night club na michepuko ndipo FBI waliopo Dar wakatuma taarifa zake NBA sasa kawa ni mchezaji mpenzi mtizamaji hana namba kikosi cha kwanza
 
Jamaa hawezi nyanyuka tena alishafika kwenye peak ilitakiwa amantain peak ila yeye alidrop.
Na hiyo peak yake aliifikisha on a rookie year, baada ya hapo akaisha kabisa kwa majivuno na kiburi..

Ili uendelee kubaki NBA unatakiwa u'developed month in month out.. The guy didn't tangia mwaka wake wa kwanza na wala hakufanikiwa kupata mkataba wowote wa maana zaidi ya rookie salary ingawa aliingia NBA akiwa 2 overall on draft. Wenzake alioingia nao NBA sasahivi ndio mastar wakubwa na wanalipwa mabillion ya shilling na mikataba minono ya kibiashara akina Steph Curry, Blake Griffin, Demar Derozan, James Harden and the likes

The guy is totally a failure na hana pesa yeyote kama mnavyodhani, hata Ali Kiba, Msuva, Bocco wanaweza kuwa na pesa kuliko yeye
 
Jamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
Enzi zile nikiwa six hapo dar basi kuna siku nikaibuka mitaa ya don bosco kupiga msuli jamaa akaja na vogue yake full wapambe ndo alikuwa katoka kudraftiwa huko NBA aisee njema ni refuu kama jini mwenyewe kavaa na hereni zake kapendeza huyo ana waka waka hahahahahsh anameremeta ana meremeta!!! Hashimu anameremeta!! Anameremeta na nikamind sana jamaa ni agemate wangu kabisa ila mi ndo nilikuwa ndani ya uniform mchizi ndani ya vogue

Fresh tu sio mbaya

Ng'ombe wa maskini hazai

Ng'ombe hata akonde vipi hawezi kuwa kuwa kama sungura hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Kweli mkuu Dogo Kasanda,his career is over like Mike any one Tyson,Jordan,Jackson.
 
Sure kabisa in take ya Hashim ni akina steph curry cheki wanavyopiga salary za maana mikataba ya under armour na Nike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Jamaa alijisahau au alijua kafika hivyo aliridhika mapema.
 
Kuchezea shilingi chooni nakataa. Hasheem kacheza kiwango chake, kulazimisha awe Kobe haiwezekani. Kilicho mpeleka NBA ni urefu otherwise tungekuwa tunapanda nae daladala tu saa hizi. Kumbuka huyu jamaa hekucheza kikapu utotoni.
Kwahiyo bado yupo NBA?
 
Sure kabisa in take ya Hashim ni akina steph curry cheki wanavyopiga salary za maana mikataba ya under armour na Nike

Sent using Jamii Forums mobile app
angekuwa analipwa hata robo ya mshahara wa Steph Curry, yaani $10m per season bado hapa bongo angeacha legacy na kufanya mengi ya maana.. Hapo tuchukulie tu hana shoe deal yeyote..

Amechezea shilling chooni, hivi mama yake bado yupo Masaki au asharudi Sinza? Hahahahaha
 
kuna kipindi flan niliskia kwamba bado anakipiga kwenye Ka team flani huko Japan, sijui ni kweli???
 
Sio zamani mpaka sasa anaamn atarudi nba ya marekani.Aisee papuchi za mademu wa kibongo haziez zikakuacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…