NBA sio mchezo inatakiwa kupiga kazi sawasawaYokohama B-corsairs...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NBA sio mchezo inatakiwa kupiga kazi sawasawaYokohama B-corsairs...
Yaani nashangaa eti jamaa na umaarufu wake aje alilie kipande cha ardhi dodoma.Kabisaa mkuu.
Bora akae huko kwanza kwani kipindi kaanzisha Tabia ya kurudi rudi Tanzania kila rikizo na akiwa Dar hukomaa na michepuko non stop ndipo kiwango chake kilishuka ghafra na hali kuwa tete, huko Dar kuna starehe nyingi zitamfanya astaafu mapema ni bora awekeze tu lakini awe anakuja mara moja moja kuangalia uwekezaji wake.Naamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anao
NBA sio mchezo inatakiwa kupiga kazi sawasawa
Wenzake wanaijeria na wa Nchi zingine wanaocheza NBA huwakuti kurudi rudi nchini mwao hovyo hovyo bali kipindi cha rikizo hukitimia kufanya mazoezi binafsi kujiweka fiti zaidiNiliwahi kumsikiliza alirudi likizo,alikuwa anaongea Kiswahili cha Marekani ,nilishangaa sana,nilimuona ana majivuno,limbukeni,...Kitaalamu tunasema Hajitambui(sijui sasa) Ingekuwa ni maajabu makubwa kama angeendelea kutamba kwenye kile kilichomuinua,kwa kiwango kile cha ushamba!
Dah! Alichangaa vibaya karata zake aiseeHasheem kasanda mkuu,era yake imepita,alipata shot kaharibu,liwe funzo kwa wengine,jamaa alipata fedha sana mwaka 2009 -2010 alifanya kufuru,alinunua hummer akanunua Range Rover Vogue,kutwa yupo TZ show off Mlimani city na kina JOKATE,kutwa kushinda CLUB kunywa pombe na kupigana na kina TID wakati wenzake wapo Camp wanafanya Mazoezi 24 hrs.
Aliendekeza starehe kuliko mazoezi pia kila mara akawa yupo Tanzania na pindi akiwa huko Dsm usiku ni kuzunguka night club na michepuko ndipo FBI waliopo Dar wakatuma taarifa zake NBA sasa kawa ni mchezaji mpenzi mtizamaji hana namba kikosi cha kwanzaHuyo dogo alipata bichwa baada ya kupata namba NBA akaleta ubishoo fasta wakamtema hivi sasa amebaki kupiga picha tu huko kwa Trump.
Na hiyo peak yake aliifikisha on a rookie year, baada ya hapo akaisha kabisa kwa majivuno na kiburi..Jamaa hawezi nyanyuka tena alishafika kwenye peak ilitakiwa amantain peak ila yeye alidrop.
Enzi zile nikiwa six hapo dar basi kuna siku nikaibuka mitaa ya don bosco kupiga msuli jamaa akaja na vogue yake full wapambe ndo alikuwa katoka kudraftiwa huko NBA aisee njema ni refuu kama jini mwenyewe kavaa na hereni zake kapendeza huyo ana waka waka hahahahahsh anameremeta ana meremeta!!! Hashimu anameremeta!! Anameremeta na nikamind sana jamaa ni agemate wangu kabisa ila mi ndo nilikuwa ndani ya uniform mchizi ndani ya vogueJamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
Ni Kweli mkuu Dogo Kasanda,his career is over like Mike any one Tyson,Jordan,Jackson.Na hiyo peak yake aliifikisha on a rookie year, baada ya hapo akaisha kabisa kwa majivuno na kiburi..
Ili uendelee kubaki NBA unatakiwa u'developed month in month out.. The guy didn't tangia mwaka wake wa kwanza na wala hakufanikiwa kupata mkataba wowote wa maana zaidi ya rookie salary ingawa aliingia NBA akiwa 2 overall on draft. Wenzake alioingia nao NBA sasahivi ndio mastar wakubwa na wanalipwa mabillion ya shilling na mikataba minono ya kibiashara akina Steph Curry, Blake Griffin, Demar Derozan, James Harden and the likes
The guy is totally a failure na hana pesa yeyote kama mnavyodhani, hata Ali Kiba, Msuva, Bocco wanaweza kuwa na pesa kuliko yeye
Sure kabisa in take ya Hashim ni akina steph curry cheki wanavyopiga salary za maana mikataba ya under armour na NikeNa hiyo peak yake aliifikisha on a rookie year, baada ya hapo akaisha kabisa kwa majivuno na kiburi..
Ili uendelee kubaki NBA unatakiwa u'developed month in month out.. The guy didn't tangia mwaka wake wa kwanza na wala hakufanikiwa kupata mkataba wowote wa maana zaidi ya rookie salary ingawa aliingia NBA akiwa 2 overall on draft. Wenzake alioingia nao NBA sasahivi ndio mastar wakubwa na wanalipwa mabillion ya shilling na mikataba minono ya kibiashara akina Steph Curry, Blake Griffin, Demar Derozan, James Harden and the likes
The guy is totally a failure na hana pesa yeyote kama mnavyodhani, hata Ali Kiba, Msuva, Bocco wanaweza kuwa na pesa kuliko yeye
hahahahahahanilikuwa ndani ya uniform mchizi ndani ya vogue
Dah! Jamaa alijisahau au alijua kafika hivyo aliridhika mapema.Na hiyo peak yake aliifikisha on a rookie year, baada ya hapo akaisha kabisa kwa majivuno na kiburi..
Ili uendelee kubaki NBA unatakiwa u'developed month in month out.. The guy didn't tangia mwaka wake wa kwanza na wala hakufanikiwa kupata mkataba wowote wa maana zaidi ya rookie salary ingawa aliingia NBA akiwa 2 overall on draft. Wenzake alioingia nao NBA sasahivi ndio mastar wakubwa na wanalipwa mabillion ya shilling na mikataba minono ya kibiashara akina Steph Curry, Blake Griffin, Demar Derozan, James Harden and the likes
The guy is totally a failure na hana pesa yeyote kama mnavyodhani, hata Ali Kiba, Msuva, Bocco wanaweza kuwa na pesa kuliko yeye
Huyo mtu wenu alishafeli,kachezea shilingi chooni.
Kwahiyo bado yupo NBA?Kuchezea shilingi chooni nakataa. Hasheem kacheza kiwango chake, kulazimisha awe Kobe haiwezekani. Kilicho mpeleka NBA ni urefu otherwise tungekuwa tunapanda nae daladala tu saa hizi. Kumbuka huyu jamaa hekucheza kikapu utotoni.
angekuwa analipwa hata robo ya mshahara wa Steph Curry, yaani $10m per season bado hapa bongo angeacha legacy na kufanya mengi ya maana.. Hapo tuchukulie tu hana shoe deal yeyote..Sure kabisa in take ya Hashim ni akina steph curry cheki wanavyopiga salary za maana mikataba ya under armour na Nike
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yake nilikuwa ninamfahamu na alikuwa ni rafiki wa watoto wake hata na vijana waliokuwa wanaishi jirani yaani ni mzee aliekuwa hawezi kukupita hivi hivi bila kukusalimia hata kama gap la umri ni kubwaUmeongea ukweli braza, mi sikutaka kulisems hili
Sio zamani mpaka sasa anaamn atarudi nba ya marekani.Aisee papuchi za mademu wa kibongo haziez zikakuacha salamaNiliwahi kumsikiliza alirudi likizo,alikuwa anaongea Kiswahili cha Marekani ,nilishangaa sana,nilimuona ana majivuno,limbukeni,...Kitaalamu tunasema Hajitambui(sijui sasa) Ingekuwa ni maajabu makubwa kama angeendelea kutamba kwenye kile kilichomuinua,kwa kiwango kile cha ushamba!