Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hivi unajua unachoongea au ni ushabiki. Hivi unajua mpaka uingie NBA unatakiwa uwe umepitia nini na nini? Au unafikiri alichukuliwa tu eti sababu ni mrefu? Huo urefu wake kule US sio big deal labda hapa kwetu walikojaa maandunje..
Hivi yule shareef oneal, anachezea timu gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B??? Mbona umeenda mbali sana,mie nabet kama ana hata 100m Tsh sijui.

Mkuu watu hawajui jinsi ambavyo ni rahisi kwa mtu kama yule kufilisika. Hana investment yoyote, hana kitegauchumi, hana biashara, hana assets, hana chochote kinachomuingizia kipato zaidi ya huo uchezaji! Na hakuna anaejua kama kweli kwa sasa anacheza au anauza supermarket. Mimi bet yangu ni kwamba jamaa hana 10m cash kwenye akaunti kwa sasa..
 
Dah !!!!!!! Jamaa mmedharau sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…