Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha
Na ile Swahili English ya Tid mnyama 😂😂😂
Hahahahahaaa kiongozi.Ya kweli haya au una nogesha jamvi?Jamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
Karl malone na utah jazz yake ukikumbuka watu kama isiah Thomas na Patrick ewing unabaki kujiuliza waqt umekwenda wapi!Yes,Daah game zilikuwa tight
We una utan unawezaje kumlinganisha na mtu kama jordan ambae anapiga hela mpaka dakika huiNi Kweli mkuu Dogo Kasanda,his career is over like Mike any one Tyson,Jordan,Jackson.
Huwa nacheka sana mzee kigogo anavyoongea swahili English dahNa ile Swahili English ya Tid mnyama 😂😂😂
Hahahaha jamaa anaipenda English mnoHuwa nacheka sana mzee kigogo anavyoongea swahili English dah
Weeee[emoji17][emoji17]Jamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
Acha uongo unatuona wote ni mafara si ndio hivi unamjua yao ming wa china aliekua anakipoga rocketMi najua ninachoongea, Hasheem alipata scholarship kwasababu ya height yake sio kwamba ni talented sana. Hapa Bongo kuna watu kama Patrick Nyembela ambao wanapiga kikapu kuliko Hasheem lakini ni wafupi kwahiyo maskauti hawawezi kuwapa opportunity. Halafu kwa taarifa yako tu, once Hasheem was the tallest NBA player. Kwanza aliokwambia Marekani watu wote warefu nani?
Nani kawaroga waafrika?[emoji848]Hasheem kasanda mkuu,era yake imepita,alipata shot kaharibu,liwe funzo kwa wengine,jamaa alipata fedha sana mwaka 2009 -2010 alifanya kufuru,alinunua hummer akanunua Range Rover Vogue,kutwa yupo TZ show off Mlimani city na kina JOKATE,kutwa kushinda CLUB kunywa pombe na kupigana na kina TID wakati wenzake wapo Camp wanafanya Mazoezi 24 hrs.
Wenzake wakiwa likizo wanafanya mazoezi yeye akawa anfunga safari kuja Dar kuzibua mitaro,msahmba ni mshamba tu hatu umpeleke wapi ,ni sawa na msemo ''hata abadili msitu,nyani anakuwa ni yuleyule''Huyo mtu wenu alishafeli,kachezea shilingi chooni.
Tofautisha scholarship aliyopata kwa height na stats alizoweka kupata vigezo vya kucheza NBA..Mi najua ninachoongea, Hasheem alipata scholarship kwasababu ya height yake sio kwamba ni talented sana. Hapa Bongo kuna watu kama Patrick Nyembela ambao wanapiga kikapu kuliko Hasheem lakini ni wafupi kwahiyo maskauti hawawezi kuwapa opportunity. Halafu kwa taarifa yako tu, once Hasheem was the tallest NBA player. Kwanza aliokwambia Marekani watu wote warefu nani?
Na waandishi wa bongo walivyo kisirani[emoji848][emoji848]Pongezi za aina hii ndo zinawafanya watu wapuuzi washindwe kujirekebisha. Unampongeza kwa lipi wakati ktk nyanja yake ameshindfwa kufika kileleni?
Wengine tulimugundua siku nyingi sana kwamba hakuna kitu hapo! Vyombo vya habari vilipapatika kumpokea wakidhani ziko kichwani lakini nadhani aliwabowa, wakaachana naye. Mtu anahojiwa kwa kiswahili eti anatafuta maneno ya kiswahili, kayasahau! Ukulie kwa Aziz Ali usahau lugha yako! Ilikuwa ishara kwamba zimepangwa vibaya.
Ya bagamoyo tu imemtoa kamasi,sembuse ya DodomaNaamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anao
Sawa uchezee Wekundu wa Msimbazi baadae tunakuona unacheza ndondo cup Mburahati barafuKama demotion ni mafanikio basi huyu dogo kafanikiwa..🙂
Karl Malone The Mailman hahahaha daaahh old good daysKarl malone na utah jazz yake ukikumbuka watu kama isiah Thomas na Patrick ewing unabaki kujiuliza waqt umekwenda wapi!
Acha uongo unatuona wote ni mafara si ndio hivi unamjua yao ming wa china aliekua anakipoga rocket
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅 hali ni teteYaani nashangaa eti jamaa na umaarufu wake aje alilie kipande cha ardhi dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
BigG amwambie jamaa apunguze makeke basi maana kitaa twafazz[emoji848][emoji848][emoji848]Unajua kama jamaa angemuoa au hata kumchumbia JoJo angekuwa still labda yupo NBA bado.. JoJo ana akili sio kama akina Wema..
Na ukichunguza kwa makini mastaa wengi wa NBA wanaoa mapema sana, angalia Lebron, Steph, Kobe walioa mapema sana na hawana scandal za kujinga jinga kabisa za Wanamake..
Hii inaniaminisha mwanamke mwenye akili ana msaada mkubwaa sana kwenye mafanikio ya mwanaume..
Hahahaha eti angekuwa ana chill na kina Ayesha Curry, nimecheka sana kaka..