Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Mi najua ninachoongea, Hasheem alipata scholarship kwasababu ya height yake sio kwamba ni talented sana. Hapa Bongo kuna watu kama Patrick Nyembela ambao wanapiga kikapu kuliko Hasheem lakini ni wafupi kwahiyo maskauti hawawezi kuwapa opportunity. Halafu kwa taarifa yako tu, once Hasheem was the tallest NBA player. Kwanza aliokwambia Marekani watu wote warefu nani?
Acha uongo unatuona wote ni mafara si ndio hivi unamjua yao ming wa china aliekua anakipoga rocket

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasheem kasanda mkuu,era yake imepita,alipata shot kaharibu,liwe funzo kwa wengine,jamaa alipata fedha sana mwaka 2009 -2010 alifanya kufuru,alinunua hummer akanunua Range Rover Vogue,kutwa yupo TZ show off Mlimani city na kina JOKATE,kutwa kushinda CLUB kunywa pombe na kupigana na kina TID wakati wenzake wapo Camp wanafanya Mazoezi 24 hrs.
Nani kawaroga waafrika?[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi najua ninachoongea, Hasheem alipata scholarship kwasababu ya height yake sio kwamba ni talented sana. Hapa Bongo kuna watu kama Patrick Nyembela ambao wanapiga kikapu kuliko Hasheem lakini ni wafupi kwahiyo maskauti hawawezi kuwapa opportunity. Halafu kwa taarifa yako tu, once Hasheem was the tallest NBA player. Kwanza aliokwambia Marekani watu wote warefu nani?
Tofautisha scholarship aliyopata kwa height na stats alizoweka kupata vigezo vya kucheza NBA..

Second overall pick huwezi kusema amechaguliwa kwa height tu. Hasheem was beast at College, Stats zake za College ali average double double on Points and Rebounds. Alikipiga sana College. Tatizo ni uzembe, starehe, utovu wa nidhamu na kuiridhika alivyoingia NBA. Angeendelea na spirit ile ile alivyotoka college leo hii angekuwa mbali..

Salary ya rookie ni kama billion 5 za kiTZ ndio zilimchanganya.
 
Pongezi za aina hii ndo zinawafanya watu wapuuzi washindwe kujirekebisha. Unampongeza kwa lipi wakati ktk nyanja yake ameshindfwa kufika kileleni?
Wengine tulimugundua siku nyingi sana kwamba hakuna kitu hapo! Vyombo vya habari vilipapatika kumpokea wakidhani ziko kichwani lakini nadhani aliwabowa, wakaachana naye. Mtu anahojiwa kwa kiswahili eti anatafuta maneno ya kiswahili, kayasahau! Ukulie kwa Aziz Ali usahau lugha yako! Ilikuwa ishara kwamba zimepangwa vibaya.
Na waandishi wa bongo walivyo kisirani[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kama jamaa angemuoa au hata kumchumbia JoJo angekuwa still labda yupo NBA bado.. JoJo ana akili sio kama akina Wema..

Na ukichunguza kwa makini mastaa wengi wa NBA wanaoa mapema sana, angalia Lebron, Steph, Kobe walioa mapema sana na hawana scandal za kujinga jinga kabisa za Wanamake..

Hii inaniaminisha mwanamke mwenye akili ana msaada mkubwaa sana kwenye mafanikio ya mwanaume..

Hahahaha eti angekuwa ana chill na kina Ayesha Curry, nimecheka sana kaka..
BigG amwambie jamaa apunguze makeke basi maana kitaa twafazz[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom