Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa

Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
May all souls find enlightment.

Aise mwaka huu waarabu maji wataita mma. Yani ni bampa to bampa Mayahudi wachafukwa wameamua kuonyesha nani ni baba na mtoto ni nani adabu ifuate mkondo wake.

Naona waarabu na hata hawa wasuasi wa waarabu huku Kolomije kimoyo moyoni wametambua Israel sio size yao katu.

Screenshot_20240929-130022_Quora.jpg


 
Sasa hizi ni sifa dah! Hata kuhutubia hajafanikiwa. Inavyoonekana ndani ya Hezbola wamepenyezwa mamluki wengi sana. Siri na movement zote inaonekana ziko monitored kisawasawa.
na sio tu kupandikiza mamluki lakini pia uwezo makini sana wa kutekeleza mission yani hakuna kumiss *****
 
Back
Top Bottom