The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Tulisema hapa,May all souls find enlightmex ,
Aise mwaka huu waarabu maji wataita mma. Yani ni bampa to bampa Mayahudi wachafukwa wameamua kuonyesha nani ni baba na mtoto ni nani adabu ifuate mkondo wake.
View attachment 3110149
Demand yao ni moja tu, KUJILINDA.Israel wataje demand zao wanazohitaji wapewe chapu dunia itulie kidogo sasa
Hatari sanaHata hajaapishwa, wamekula kichwa.....
Kweli kifo ni kifo.
Watoto wameutaka bob, ngoja wasukumiwe moto 😁Israel wataje demand zao wanazohitaji wapewe chapu dunia itulie kidogo sasa
Aise ni hatari, Israel inatoa funzo mujarabu namna ya kudeal na magaidiHata hajaapishwa, wamekula kichwa.....
Kweli kifo ni kifo.
na sio tu kupandikiza mamluki lakini pia uwezo makini sana wa kutekeleza mission yani hakuna kumiss *****Sasa hizi ni sifa dah! Hata kuhutubia hajafanikiwa. Inavyoonekana ndani ya Hezbola wamepenyezwa mamluki wengi sana. Siri na movement zote inaonekana ziko monitored kisawasawa.