Jamaa ndio muanzilishi wa kikosi cha mizinga, Kalapina kafundishwa game na Hashim ila baada ya kuleta mziki wa kupiga watu na kuwaibia raia Hashim hakupendezwa tena na kundi lake akaendelea na masomo udsm na sasa yuko mtoni ila aliskika kwenye free style version za watengwa kundi kutoka arusha, jamaa alikua makini na hakuna anayemuweza kwa kuimba kingereza hapa Africa, kama wewe sii new school kama hawa watoto masharoharo utakuwa ulisikiliza ngoma yake ya SHADOW IN THE DARKNESS.wadau wa mziki wa hiphop ya kiTZ (siku hizi bongo fleva kwa ujumla wake)mtakuwa mnamkumbuka
huyu brother.he was an illest mc ever btwn 1995-2002.kipindi hicho nakumbuka nilikuwa O-LEVEL na nilimkubari sana hashim na mashairi yake ya ki-hiphop.siku hizi wabana pua ndio wanao tamba.yupo wap hashim a.k.a dogo.
View attachment 35077
yeye pamoja na mwenzake karama masoud aka kalapina kwa pamoja ndio walianzisha kundi la kikosi cha mizinga, kundi ambalo lilikuwa likiangaliwa kwa mtazamo wa tofauti kuanzia na media mpaka jamii kiujumla. Nadhani maneno makali waliyokuwa waiyaongea hawa jamaa yalikuwa hayapokelewi kwa mtazamo chanya ndio maana jamaa akaona haina haja bora aangalie ustaarabu mwingine japo mwenzie kalapina anakomaa mpaka leo, ila kiukweli yule jamaa alikuwa emcee hodari. Naikumbuka nyimbo yake ilikuwa inaitwa 'chochote unachofanya'
Mkuu tuwekee hiyo ngoma ya Shadow in the darkness, kiukweli namkubali sana huyu jamaa.

Jamaa ndio muanzilishi wa kikosi cha mizinga, Kalapina kafundishwa game na Hashim ila baada ya kuleta mziki wa kupiga watu na kuwaibia raia Hashim hakupendezwa tena na kundi lake akaendelea na masomo udsm na sasa yuko mtoni ila aliskika kwenye free style version za watengwa kundi kutoka arusha, jamaa alikua makini na hakuna anayemuweza kwa kuimba kingereza hapa Africa, kama wewe sii new school kama hawa watoto masharoharo utakuwa ulisikiliza ngoma yake ya SHADOW IN THE DARKNESS.
wadau wa mziki wa hiphop ya kiTZ (siku hizi bongo fleva kwa ujumla wake)mtakuwa mnamkumbuka

tunasonga kwa mwendo wa falasi au kinyonga;tunasonga.......dah hii mistari inanikumbusha mbali sana.namkumbuka kanali masawe jite ute back then.Jamaa ndio muanzilishi wa kikosi cha mizinga, Kalapina kafundishwa game na Hashim ila baada ya kuleta mziki wa kupiga watu na kuwaibia raia Hashim hakupendezwa tena na kundi lake akaendelea na masomo udsm na sasa yuko mtoni ila aliskika kwenye free style version za watengwa kundi kutoka arusha, jamaa alikua makini na hakuna anayemuweza kwa kuimba kingereza hapa Africa, kama wewe sii new school kama hawa watoto masharoharo utakuwa ulisikiliza ngoma yake ya SHADOW IN THE DARKNESS.