Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

Hata hao Kina FidQ , Nikk Mbishi hawatii Maguu kwa Huyu Jamaaa Pia Kuna Vichwa Vingine Kama ZAVARA na SALU T wametupa Pembeni Game na Kuendelea Na Mambo Yao Binafsi sijui kwanini Hapa kuta kua na kitu tu!
 
Yote yaliyotokea ni kwa 7bu ya Clouds.
 
Hata hao Kina FidQ , Nikk Mbishi hawatii Maguu kwa Huyu Jamaaa Pia Kuna Vichwa Vingine Kama ZAVARA na SALU T wametupa Pembeni Game na Kuendelea Na Mambo Yao Binafsi sijui kwanini Hapa kuta kua na kitu tu!
hashim alikuwa ni ilest kweli kweli.kwa mnaowasiliana nae mwambieni cc mashabiki zake wa toka enzi tunamiss midondoko yake.afanye hata mixtape na kuitupia ktk mitandao badala ya kuipeleka kwa hao ma-clouds.
 
anafanya nini? Mwambie deo anahtaji compilation ya audio/vdeo zake. Halaf muulze nani mc anayemkubali hapa tz.

mkuu naona huyo uliyemtuma kaingia mitini tangu 29th October 2013.
 
<br />
<br />
acha uongo hakuna mtu anaefundishwa kurapu sikiliza tunasonga na mstari wa mbele ndo utajua pina hakufundishwa kurapu na hashim sema inawezekana kuna sharing ideas

U probably know nothing about rap then
 
Back
Top Bottom