Hata hao Kina FidQ , Nikk Mbishi hawatii Maguu kwa Huyu Jamaaa Pia Kuna Vichwa Vingine Kama ZAVARA na SALU T wametupa Pembeni Game na Kuendelea Na Mambo Yao Binafsi sijui kwanini Hapa kuta kua na kitu tu!
hashim alikuwa ni ilest kweli kweli.kwa mnaowasiliana nae mwambieni cc mashabiki zake wa toka enzi tunamiss midondoko yake.afanye hata mixtape na kuitupia ktk mitandao badala ya kuipeleka kwa hao ma-clouds.Hata hao Kina FidQ , Nikk Mbishi hawatii Maguu kwa Huyu Jamaaa Pia Kuna Vichwa Vingine Kama ZAVARA na SALU T wametupa Pembeni Game na Kuendelea Na Mambo Yao Binafsi sijui kwanini Hapa kuta kua na kitu tu!
yupo hashim dogo jama,anaetaka kujua alipo anicheki me ni dogo lake halisi
<br />
<br />
acha uongo hakuna mtu anaefundishwa kurapu sikiliza tunasonga na mstari wa mbele ndo utajua pina hakufundishwa kurapu na hashim sema inawezekana kuna sharing ideas