Hashim Dogo akutana na Nash Mc

Hashim dogo ni moja kati ya ma mc ambaye alikua na uwezo mkubwa wa kupanga vina. ... Akifuatiwa kwa mbali...na Imamu Abbas....fanani wa ukweli ...japo Hawa wote hawakupata bahati ya kukuza carrier zao kutokana na changamoto tofaut tofaut za kimaisha .. but to be frank walikua na uwezo mkubwa Sana ...wanastahili heshima kubwa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo mwanaharamu kalamu inanuka damu,,
Wabongo acheni nyodo wote mnakula hongo..
"In the shadow of a dark destiny"

"HIV.i vitu viko wazi, kama vazi la kahaba
Nasambaza maradhi, halafu nakupa siku saba"

Hashimu nilikutana naye akaniambia alikuwa anazungumzia HIV hapo, nikaona ana mashairi ya sanaa kali sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…