Hashim Dogo akutana na Nash Mc

Hashim Dogo akutana na Nash Mc

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,638
Hashim & Nash,wana Hip Hop wakubwa kabisa kutokea bongo,mwendawazimu na chizi wamekutana, sadly hashim hafanyi mziki siku hizi amekuwa sheikh swala tano
FB_IMG_1579344849853.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hashim dogo ni moja kati ya ma mc ambaye alikua na uwezo mkubwa wa kupanga vina. ... Akifuatiwa kwa mbali...na Imamu Abbas....fanani wa ukweli ...japo Hawa wote hawakupata bahati ya kukuza carrier zao kutokana na changamoto tofaut tofaut za kimaisha .. but to be frank walikua na uwezo mkubwa Sana ...wanastahili heshima kubwa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo mwanaharamu kalamu inanuka damu,,
Wabongo acheni nyodo wote mnakula hongo..
"In the shadow of a dark destiny"

"HIV.i vitu viko wazi, kama vazi la kahaba
Nasambaza maradhi, halafu nakupa siku saba"

Hashimu nilikutana naye akaniambia alikuwa anazungumzia HIV hapo, nikaona ana mashairi ya sanaa kali sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom