Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Kuna track inaitwa saa za kazi yupo na Afro Reign kina Sebastian Maganga enzi hizo itafute inaitwa saa za kazi ingia eastafricantube kwa chuma utaipata pia kuna track yake nzuri iliyomtambulisha vyema inaitwa in the shaddow ipo safi sana jamaa aliweza teka soko kipindi hicho coz alikua anajua kughani kwa kingereza ambapo ndio ilikua inashika chati,kwa kifupi jamaa ni jembe aka mnyama wa ukweli.

Nyimbo zote hizo ni Kali,**WADAU WA HIPHOP
INAWAHUSU HII**
Wasanii wengi wa Hiphop
wakiwa kwny mahojiano
au wadau wengi
wakiulizwa mc gani
wanayemkubali wengi
humtaja HASHIM
DOGO.Frankly
speaking,binafs wimbo
nnaoufaham ambapo naye
yupo ni TUNASONGA
aliochana na kalapina....
SWALI: Ni kitu gani spesho
au track zipi alizofanya
zinazofanya wadau wengi
wamkubali,au wanaomsifia wanafuata mkumbo? Binafs simjui
sana..
....
Sikiliza hata jingle ya DJ Show Redio One, amefanya Hashim 98-99 lakini mpaka leo bado inabamba!
Kama humjui Hashim itakua umeanza fuatiliaaa HIP HOP majuzi