Hashim dogo ndo nani?

Hashim dogo ndo nani?

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
**WADAU WA HIPHOP
INAWAHUSU HII**

Wasanii wengi wa Hiphop
wakiwa kwny mahojiano
au wadau wengi
wakiulizwa mc gani
wanayemkubali wengi
humtaja HASHIM
DOGO.Frankly
speaking,binafs wimbo
nnaoufaham ambapo naye
yupo ni TUNASONGA
aliochana na kalapina....

SWALI: Ni kitu gani spesho
au track zipi alizofanya
zinazofanya wadau wengi
wamkubali,au wanaomsifia wanafuata mkumbo? Binafs simjui
sana..
 
Kuna track inaitwa saa za kazi yupo na Afro Reign kina Sebastian Maganga enzi hizo itafute inaitwa saa za kazi ingia eastafricantube kwa chuma utaipata pia kuna track yake nzuri iliyomtambulisha vyema inaitwa in the shaddow ipo safi sana jamaa aliweza teka soko kipindi hicho coz alikua anajua kughani kwa kingereza ambapo ndio ilikua inashika chati,kwa kifupi jamaa ni jembe aka mnyama wa ukweli.
 
umemaliza mkuu,akasikilize then arudi hapa kucomment bila unafiki.
 
Kuna track inaitwa saa za kazi yupo na Afro Reign kina Sebastian Maganga enzi hizo itafute inaitwa saa za kazi ingia eastafricantube kwa chuma utaipata pia kuna track yake nzuri iliyomtambulisha vyema inaitwa in the shaddow ipo safi sana jamaa aliweza teka soko kipindi hicho coz alikua anajua kughani kwa kingereza ambapo ndio ilikua inashika chati,kwa kifupi jamaa ni jembe aka mnyama wa ukweli.

umetisha mkuu
 
Chochote utachofanya kifanye tena kwa uhaakika,
Nani mzugaji na nani anawajibika,
Wenye vipaji na fani wanahesabika,
Kama wewe ni jambazi fanya kweli saa za kazi..........................

Mungu nipe mungu nipe vitu vyote vya thamani ebana eeh mungu si athumani..........
Mawazo yangu yanabusu sakafu ya mahabusu....................

Hivyo ni vipande baadhi katikaa mistari yake
Hashim ana track kibaao kuanzia arizo rap kwa kiingereza mpaka za kiswahili.

Sikiliza hata jingle ya DJ Show Redio One, amefanya Hashim 98-99 lakini mpaka leo bado inabamba!

Kama humjui Hashim itakua umeanza fuatiliaaa HIP HOP majuzi
 
mmh,ngoja nijaribu kuzigoogle hzo nyimbo
 
**WADAU WA HIPHOP
INAWAHUSU HII**

Wasanii wengi wa Hiphop
wakiwa kwny mahojiano
au wadau wengi
wakiulizwa mc gani
wanayemkubali wengi
humtaja HASHIM
DOGO.Frankly
speaking,binafs wimbo
nnaoufaham ambapo naye
yupo ni TUNASONGA
aliochana na kalapina....

SWALI: Ni kitu gani spesho
au track zipi alizofanya
zinazofanya wadau wengi
wamkubali,au wanaomsifia wanafuata mkumbo? Binafs simjui
sana..
Nyimbo zote hizo ni Kali,
But cha mtoto kwa (IN THE) "SHADOW OF THE DARK DESTINY",
Nenda kautafute YouTube ndio utamjua.
Ningekua na muda ningekuwekea mistari (lyrics) zake hapa, but nalala mkuu!!

Kuna Uzi mmoja uliwahi kumzungumzia kwa marefu na mapana, tena kwenye sub-forum hiihii ya Celebrities, jaribu kui-search!
 
....

Sikiliza hata jingle ya DJ Show Redio One, amefanya Hashim 98-99 lakini mpaka leo bado inabamba!

Kama humjui Hashim itakua umeanza fuatiliaaa HIP HOP majuzi

"DJ Show is get goin on x2
Saa nane niko nyumbani,
Kuchabo Radio One,
Manabo hawana Fani
Sasa nawateka
Nikiweka panga langu nawafyeka
......""

Dah, mwanaharamu ni mwanaharamu tu kwa kweli!!!!
 
"kuna mwanamke mi ananipa kiwewe,yani mchana akikosa usiku anajiukumu mwenyewe,sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema,kwa kweli naona ni vema,kuweka nanga mapema,mtoto kitanga mtasema,wanga tena mtapanga mengi,machizi wanamtazama,kwa macho ya wizi mama,...."

iyo ndio baadhi ya mistari ya mwendawazimu Dogo.
 
majuzi kati nilimuona maeneo ya makumbusho na ride yake.kimaumbile jamaa anaonekana umri wa harakati za ujanani umeenda.sure this brother was a real and illest MC ever.
 
Back
Top Bottom