Kongole kwake milan wa bongoView attachment 2391219Mtangazaji Hasheem Ibwe amekuwa Kaimu Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC kuanzia leo Oktoba 18 hadi itakapotangazwa vinginevyo.
#mwanaspoti
#mwanaspotiupdates
Inalipa ndio maana wanakimbilia hukoHivi Usemaji wa Klabu unalipa sana kuliko Utangazaji?
Ahmed Ally, Ally Kamwe na sasa Ibwe
Hivi Usemaji wa Klabu unalipa sana kuliko Utangazaji?
Ahmed Ally, Ally Kamwe na sasa Ibwe
Lakini hata Watangazaji husafiri pia. Kama kule Sudan huyu Ibwe alikuwepo na YangaIssue ni zile safari, hasa kwa Club kama Simba ambayo inasafiri sana kwenda nje. Ila Azam na Yanga ni hamna kitu, wana safari nyingi za kwenda Mbeya & Dodoma kuliko nje ya nchi.
Punguza mahaba yako mkurugenzi. Unaweza ukapofuka macho.Issue ni zile safari, hasa kwa Club kama Simba ambayo inasafiri sana kwenda nje. Ila Azam na Yanga ni hamna kitu, wana safari nyingi za kwenda Mbeya & Dodoma kuliko nje ya nchi.
Inalipa San per diem zakusafiri na timu Ni nyingi mno na nitamu utangazaji michoshoHivi Usemaji wa Klabu unalipa sana kuliko Utangazaji?
Ahmed Ally, Ally Kamwe na sasa Ibwe
Hawajafikia levo ya kufananishwa.na Milankongole kwak milan wa bongo
Zaka punguza ngengaIssue ni zile safari, hasa kwa Club kama Simba ambayo inasafiri sana kwenda nje. Ila Azam na Yanga ni hamna kitu, wana safari nyingi za kwenda Mbeya & Dodoma kuliko nje ya nchi.
Yah jamaa ana yai zuri sana aisee.Yah,good jamaa anaongea English iliyonyooka sio yule dada sijui nani eti"I see a children here"pumbavuuuu
Kwani kwenye ile tamthlia ya revenge sauti ya milan imeingiziwa na nan kwa lugha ya kiswahiliHawajafikia levo ya kufananishwa.na Milan
Nilikuwa nazungumzia Milan timukwan kwny ile tamthlia ya revenge saut ya milan imeingiziw n nan kwa lugha ya kiswahil
Aaah mi sizungumzii Milan timu me nazungumzia actor wa kiume anaytmia jina la milan kwny tamthilia ya revenge inyooneshwa Azam two HDNilikuwa nazungumzia Milan timu