Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Huyu naye akili zake haziko sawa apelekwe milembe akapimwe
 
Inawezekana Kuna watu wanamuunga mkono alichosema! Yaani Rais akuteua halafu uache kumuunga mkono na kimpenda? Kuna haja ya kuwapima akili viongozi na wafuasi wa upinzani.
 
Wewe ndio huna akili za kung'amua alichosema Hashimu. Sikiliza tena pengine unaweza kuelewa.

Kwa kukusaidia ile ni kazi ina descriptions na kila kitu si lazima umpende raisi ndio ufanye kazi. Wewe kazini kwako ni lazima umpende boss wako?
 
Kwahiyo wewe unaweza ukafanya kazi na bosi usiyempenda?
 
kwani tunafanya mapenzi au kazi? kwanza nimpende ili iweje? naipenda kazi sio boss.
Wewe ni mtoto wa kike mpaka ufanye kazi na boss unaempenda?
 
Awataje hao wapinzani sasa,maana wapizani wenyewe wana taatifa tofauti kuhusu magufuli.
 
Inawezekana Kuna watu wanamuunga mkono alichosema! Yaani Rais akuteua halafu uache kumuunga mkono na kimpenda? Kuna haja ya kuwapima akili viongozi na wafuasi wa upinzani.
Marekani umeona wanamsifia Biden anaupiga mwingi ? Hata Kenya tu hapo unaona viongozi tofauti na kina Gachagua wanamsifu Ruto kila saa. Nchi hii ni masikini pesa inayotumiwa ku print picha za mama kwenye billboard na T-shirt ingetosha kujenga kiwanda kimoja na kuajiri watu zaidi ya 200
 
Hata hivyo Magufuli alituletea ndege tunafaidi tu.

Akina Nape wanachukua hela za uma na kwenda kuficha uswis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…