Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Na katiba mpya ndiyo muarobaini wa hiloTatizo la nchi yetu ni ukubwa wa serikali
Kweli aseeNa katiba mpya ndiyo muarobaini wa hilo
yuko ndaniMbowe akijikita kwenye hii agenda ya tozo atapata uungwaji mkono sana maana ni wengi wanateseka.....nadhani hana Washauri wazuri.
Ni mwanasheria kama ulikuwa haujui.Huyu mzee ukimuona na midevu yake na ahadi za wali kuku kwenye kampeni, unaweza kusema ni kichaa. Ila ana akili kuliko Rais na Mawaziri wake wote.
Huyu dingi akiwa anahojiwa na Medias anakuaga anaongea points Sana.Ila Sasa akiwa anaongea jukwaani kwny kampeni hua anaongea ujinga ujinga tu,mtu timamu kichwani hawezi mchukulia serious.Huyu mzee ukimuona na midevu yake na ahadi za wali kuku kwenye kampeni, unaweza kusema ni kichaa. Ila ana akili kuliko Rais na Mawaziri wake wote.
Basi walioko around basi waungane maana hii hoja ya tozo ina mashiko...kina Zito, Mbatia, Lipumba n.k, huu ndio muda wa kuonesha mshikamano na hoja tayari ipo mezani na ina mashiko.yuko ndani
Hiyo ni kazi ya activists, kudeal na event. Hizi events huwa haziishi, huja kila baada ya muda. Sasa chama hakiwezi kukomaa na events.Basi walioko around basi waungane maana hii hoja ya tozo ina mashiko...kina Zito, Mbatia, Lipumba n.k, huu ndio muda wa kuonesha mshikamano na hoja tayari ipo mezani na ina mashiko.
yuko ndani