Namkubali sana huyu mzeeMzee Rungwe wewe ni legendary katika siasa za upinzani Tanzania. Kinachosaidia akili mzee ni protein kwa wingi, ongeza dau ugawe mayai na maziwa kwa watoto mashuleni.
Spunda bana. Yaani hapo yupo serious kabisa anaona ana chance nzuri tu ya kuukwaa uraisHashim Rungwe Spunda ametia nia kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba kwa tiketi ya CHAUMA
Amesema, "Sera yangu ya kuimarisha lishe kwa watanzania bado iko palepale. Nitahakikisha Mtanzania anakuwa na uwezo wa kula kuku mzima na wanafunzi wale ubwabwa mara kwa mara. Elimu bure bila lishe bora haina tija, hata viwanda bila lishe bora haviwezi kuzalisha kwa manufaa"
View attachment 1509973
Rungwe na yule mwenzie Dovutwa huwa wanasikika tu wakati wa uchaguzi!