Hashimu Juma, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA(BAZECHA) afutiwa mashtaka na DPP

Hashimu Juma, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA(BAZECHA) afutiwa mashtaka na DPP

Hii sheria ya mahakama kumwachia mtuhumiwa huru halafu punde tu polisi ikamkamata nje ya vyumba vya mahakama imefutwa. Hawa polisi huwa wanazingatia mabadiliko ya sheria kweli ama wapo static tu.
 
Napenda sana usawa na ulinganyo katika uwanda wa siasa kwani ndio msingi bora wa kuimulika serikali yetu na nje ya hapo ni unafiki na kujipendekeza ili mdomo uende kinywani. Namkubali sana Samia
 
Tatizo la ccm hawana watu wenye haiba,mvuto na weledi wa kuongea na kuvuta umma kuwasikiliza tofauti na wenzao wa CDM ambapo watu kama lissu, Mbowe, Lema na akina Msigwa wan mvuto sana .
 
Hii sheria ya mahakama kumwachia mtuhumiwa huru halafu punde tu polisi ikamkamata nje ya vyumba vya mahakama imefutwa. Hawa polisi huwa wanazingatia mabadiliko ya sheria kweli ama wapo static tu.
Dawa yake ni ukiachiwa tu ukitoka nje ya mahakama unaangalia upenyo unatimua mbio za kasi 5G
 
Kwa hiyo umekasirika kuachiwa Mzee baba, hata unashindwa kumjibu kiuungwana vipi siku mwenyekiti akifutiwa kesi michongo🤔.
Hapana mkuu wala siyo kukasirika kuna watu wanauliza pasipo kusoma post. Unatakiwa kumrudisha asome tena....
 
Back
Top Bottom