Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya.

My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
 
Kwa hakika MASHINDANO ya UMISS ni njia OVU na ni katika MAPITO YA SHETANI katika vipimo vyote!!

Kuhusu Hashim Lundenga, sijui ni muda mrefu sijamsikia LAKINI TUNAPASWA KUJIHADHARI NA KUMHUKUMU MTU KWA SASA KUPITIA HISTORIA YAKE.

ikiwa amehitimisha safari yake katika hali hiyo basi ni hatari Lakini ikiwa alitubia na kumrudia Muumba wake na kuondoka hali ya kuwa Mola wake amemridhia basi ni bishara njema kwake!!

Kikubwa kuliko vyote kwenye maisha ya mwanadamu ni HATMA au MWISHO WAKE!!

Ndiyo maana kwa WAISLAMU tunatakiwa kila siku kumwomba Mola Mlezi atujaalie mwisho mwema.

TAHADHARI: Huwezi kuishi maisha ya UASI NA UOVU ukiwa UNAJUA na huku ukitaraji Mola Mlezi atakujaalia mwisho mwema; hicho ni kiburi na inaweza kuwa sababu ya Mola Mlezi kukufisha katika njia yako hiyo!!

Namwomba Mola wetu Mlezi aniongozi mimi na ninyi katika haqi na atujaalie mwisho mwema.
 
Humu mbona huwa mnapenda nyuzi za ngono sembuse warembo kujinadi kwakuwaonyesha niniliu
 
Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya.

My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
Wewe kwani unalazimishwa kuangalia wanaotembea uchi au nusu uchi???? Wewe endelea kuishi na dini yako ya kufunika nyuso, kuosha makalio mara sita kwa siku, na kujifunga mabomu kujilipua. Mungu alikwambia lini kuwa kutokuvaa nguo ni dhambi ya kupeleka watu motoni? Kwani Adam na Eva walikuwa wakivaa nguo. Paka wewe.
 
Wengi wamekuwa master ama kuolewa baada ya kuonekana hivyo
 
Paka wewe.
sasa matusi ya nini? wapi nimetukana mimi? nimesema mara nyingi kuwa kama huna majibu ya kiungwana we pita tu, kwani lazima ujibu? Basi kama ningelikuwa paka mimi na mama yako tusingelikuzaa , basi na mama yako ni paka maana nimezaa naye
 
Uncle Lundenga kafariki duh!

Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom