SI KWELI Hashimu Rungwe: Salumu Alisema atahakikisha ananinyoa ndevu zangu kwa upanga

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Asiee🤔

Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣

Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..

Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka..!

Kaa mkao wa kunyolewa babuu🐥 🐥 🐥
20260703_124333.jpg
 
Tunachokijua
Julai 1, 2026 Chama cha Ukombozi wa Umma kupitia kwa Mwenyekiti wake, Hashimu Rungwe walimvua nafasi ya uongozi Salum Mwalimu kama katibu mkuu wa chama hicho kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo za kudtumia madaraka yake vibaya.

Madai

Kumekuwapo na grafiki iliyosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii inayodai kuwa Hashimu Rungwe alieleza kuwa Salum Mwalimu alimwambia atahakikisha anamnyoa ndevu zake kwa upanga.

Uhalisia wa madai hayo

Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejirirdhisha kuwa maneno hayo hayakuwahi kutolea na kiongozi huyo wa juu wa CHAUMMA.

Kwa kupitia marejeo ya video ya mwisho aliyozungumza Hashimu Rungwe kabla ya madai haya kuibuka ambapo alizunguza Juni 1, 2026 imebainika hakuna sehemu yoyote katika mazungumzo hayo ambapo aligusia kuwa aliambiwa atanyolewa ndevu.

Katika mkutano huo AJenda kuu ilikuwa ni kumvua nafasi za uongozi Salum Mwalimu kama katibu mkuu na kumpandisha Benson Kigaila kutoka kuwa naibu katibu mkuu hadi kuwa katibu mkuu wa chama hicho. Video hiyo imehifadhiwa hapa
View attachment 3621231
Asiee🤔

Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣

Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..

Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka..!

Kaa mkao wa kunyolewa babuu🐥 🐥 🐥
Ni sawa na kukaribisha kundi kubwa la mbwa mwitu wa mwaipopo chumbani mwako!
 
Huyu babu ameishashiba ubwabwa anaanza kufukuza watu aliotamba nao angani ndani ya Helicopter 🚁
 
View attachment 3621231
Asiee🤔

Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣

Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..

Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka..!

Kaa mkao wa kunyolewa babuu🐥 🐥 🐥
Gentleman,
hii artwork ni kutoka kwa wale vijana wa Maria pale Nairobi, right?🐒
 
Zile ndevu za Rungwe ndio chama chenyewe wakizinyoa sijuwi itakuwaje?
 
View attachment 3621231
Asiee🤔

Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣

Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..

Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka..!

Kaa mkao wa kunyolewa babuu🐥 🐥 🐥
Rungwe anajuta kuwakaribisha wale waasi..
 
View attachment 3621231
Asiee🤔

Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣

Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..

Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka..!

Kaa mkao wa kunyolewa babuu🐥 🐥 🐥

Haaaahaaa...baada ya kumlisha ubweche akala akashiba. Anataka kumnyoa aliyeleta mlo! Dunia ina mambo hii
 
View attachment 3621231
Asiee🤔

Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣

Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..

Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka..!

Kaa mkao wa kunyolewa babuu🐥 🐥 🐥
Ukweli mchungu huyo Kigaila ni nyoka mwenye sumu kali kuliko Salum, muda utaongea asubiri kidogo tu atapinduliwa na kupokonywa chama kabisa.
 
Mi ningenyoa zile ndevu kwa msumeno. Labda kama angekuwa ananipikia ubwabwa Kila siku.
 
Back
Top Bottom