Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hadithi mpya ya kusisimua ya "Hasira ya Baba" imeanza. Utaipata kwenye toleo la kijarida cha Cheche za Fikra ikiwa ni sehemu ya kwanza. Sule Chitete amefurahia kupata watoto wawili wa kike, Shukuru na Majaliwa. Baadaye akapata mtoto wake wa kiume baada ya kungojea sana, wakamuita Sifa. Sifa alipendwa na kila mtu kijijini, isipokuwa baba yake....