~ Hasira ya Baba ` Hadithi mpya

~ Hasira ya Baba ` Hadithi mpya

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Hadithi mpya ya kusisimua ya "Hasira ya Baba" imeanza. Utaipata kwenye toleo la kijarida cha Cheche za Fikra ikiwa ni sehemu ya kwanza. Sule Chitete amefurahia kupata watoto wawili wa kike, Shukuru na Majaliwa. Baadaye akapata mtoto wake wa kiume baada ya kungojea sana, wakamuita Sifa. Sifa alipendwa na kila mtu kijijini, isipokuwa baba yake....
 
Dah!!! hadithi bomba sana hii, naisubiri kwa hamu kubwa iendelee wiki ijayo. :A S 41::A S 41:
 
... Nahisi sehemu ijayo itakuwa kali zaidi!! Waiting so much to read it!!
 
Asante sana MKJJ kwa kutukumbuka, maana ile nyingine sijui iliishia wapi!
 
Dah Heading kama nisinge kuwa na subira ya kwenda kuangalia mpaka chini...ningekushambulia mzee...kwamba niaje...wewe kutuwekea siasi kwenye mapenzi..by the way....Thanks...
 
Naogopa kuanza kusoma usije ukatupokonya tonge mdomoni kama wakati ule:mad2::mad2::mad2::mad2::becky:
 
Naogopa kuanza kusoma usije ukatupokonya tonge mdomoni kama wakati ule:mad2::mad2::mad2::mad2::becky:


usiogope ile nyingine najua wewe ungeipenda sana! ndio maana nikawanyang'anya tonge ila I promise nitaimalizia tu..
 
na moyo wangu mwepesi,nitaweza kweli?
 
MMK hii hadithi:becky::becky: hahaha
sasa ndo imeishia hapo?hakuna juzuu zingine?
 
Back
Top Bottom