Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
safi sana Mzee Mwanakijiji hatimae umetukumbuka .
Dah!!! hadithi bomba sana hii, naisubiri kwa hamu kubwa iendelee wiki ijayo. :A S 41::A S 41:
:confused2:siwezi kuwasahau.. vinginevyo mafisadi watashinda!
Na wewe mtunzi unaisubiri:sleepy:Hata mimi nasubiria kwa hamu....
Na wewe mtunzi unaisubiri:sleepy:
... Nahisi sehemu ijayo itakuwa kali zaidi!! Waiting so much to read it!!
Asante sana MKJJ kwa kutukumbuka, maana ile nyingine sijui iliishia wapi!
Naogopa kuanza kusoma usije ukatupokonya tonge mdomoni kama wakati ule:mad2::mad2::mad2::mad2::becky:
Imalizie mkuu!usiogope ile nyingine najua wewe ungeipenda sana! ndio maana nikawanyang'anya tonge ila I promise nitaimalizia tu..
na moyo wangu mwepesi,nitaweza kweli?