Hasira ya leo imechangiwa na ukweli kuwa anajua hakuwa amechaguliwa watu

Hasira ya leo imechangiwa na ukweli kuwa anajua hakuwa amechaguliwa watu

Tindo

Platinum Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
72,020
Reaction score
129,293
Nimemuelewa sana Samia, hasira zake si maandamano, bali ni kitendo cha wananchi kugoma kujitokeza kumpigia kura.

Anajua waliotoka kuandamana ni kama walikuja kujazia tu hesabu, lakini ukweli unaomuuma hadi ni sasa ni ile voters turn out ya aibu.
 
Anadhani watu wanashawishiwa kwa propaganda, hongo na upumbavu mwingine...... Watu wanataka facts na matokeo na sio ngonjera na sifa za kijinga.
 
Tutasikia nini' tena kutoka kwa wadini TEC zaidi ya hayo mnayoongea?!!! Poleni
 
Nimemuelewa sana Samia, hasira zake si maandamano, bali ni kitendo cha wananchi kugoma kujitokeza kumpigia kura.

Anajua waliotoka kuandamana ni kama walikuja kujazia tu hesabu, lakini ukweli unaomuuma hadi ni sasa ni ile voters turn out ya aibu.

Katika dhambi atakazokwenda nazo kaburini ni dhambi ya UONGO. Nafukiri Uonho kwake ni KIPAJI CHA KUZALIWA NACHO. Kudanganya vitu smbavyo viko so obvious inabidibuwe character fulani.
 
Back
Top Bottom