Hasira zangu namaliziaga chooni

Hasira zangu namaliziaga chooni

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Baba alimuuliza mwanae:

Baba:hivi mwanangu nikikuchapaga hasira zako unazimaliziaga wapi?

Dogo:nazimaliziaga chooni!

Baba:kivipi unamaliziaga chooni?

Dogo:naendaga kusugua tundu la choo kwa kutumia mswaki wako...

Yesu na maria ningekua mimi ningemtoa sadaka huyu dogo hahahahaha
 
Back
Top Bottom