Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo utakumbuka umuhimu wa upinzani,mbunge kutoka jimbo eneo ninalo ishi huwa namuona anatafuna karanga tu mle na kupiga soga.khaaaBunge letu lishaonesha ni kibogoyo
Bunge letu haliwakirishi wananchi
Bunge haliisimamii serikali
Bunge lapitisha bajeti bila kufikiri ya kesho
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea
Ahh kabisaMtalalamika weeh baadaye mtawachagua
Nikuulize ulicho mzidi mwana FA ni Nini maana binafsi namfahamu ? Sikufahamu ila mwana FA anayosifa ya kuwa mbunge ana Elimu,exposure,pesa na uongozi.Bunge lina mwana FA na Babu Tale!!
Ukiwa na yule TUlia pale mbele anayewakilisha mihimili mingine! AONDOKE mapema wanambeya mmetusomesha namba vya kutoshaBunge letu lishaonesha ni kibogoyo
Bunge letu haliwakirishi wananchi
Bunge haliisimamii serikali
Bunge lapitisha bajeti bila kufikiri ya kesho
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge maana bila wao yatokeayo leo yasingetokea
Mwana FA ana PESA! sifa ya UBUNGE! watz walioangukia kwenye mfereji wa maji machafu hao!Nikuulize ulicho mzidi mwana FA ni Nini maana binafsi namfahamu ? Sikufahamu ila mwana FA anayosifa ya kuwa mbunge ana Elimu,exposure,na uongozi.![]()
Hapo ndo huwa wananichosha kabisa.Mtalalamika weeh baadaye mtawachagua
Kwa uchaguzii ujao tusiangalie chamaa , tuchague yulee ambayee ni boraaa na sio chamaa , mamboo ya chamaa tuwaachie wahengaa, mara hiki chama ndicho kilifanya ivii 1962 tuwaachie wazee tuchague wabungee wa kuelewekaa
Mtalalamika weeh baadaye mtawachagua